Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Umeona lkn Rais alichozungumza kuhusu miradi na fedha zake? Point ndio hiyo amesema ni mikopo kutoka nje ya wafadhil!! Basi tufanye hivi... Awamu ya tano miradi yote mikubwa iliendeshwa kwa fedha za ndani!! Over!!Kwani kila pesa ya mkopo ni pesa ya nje, kama tulikopeshwa na Makampuni ya ndani je? Kwani lile daraja pale Kigamboni si limetumia pesa za ndani ambazo ni mkopo kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii? Huenda wewe ndiye unayekaza fuvu kuliko huyo unayemshutumu.
Nchi ngumu sana hii, walisema aliifunga Nchi tukakosa Mikopo na Misaada kutoka nje, Wao wameifungua Nchi na fedha zinaanza kumiminika! Unajua kuna wakati wanaona aibu kusema ukweli, wanaangalia upepo wa wakati huo ndiyo maana hizi contradiction zinatokea.Mbona tulisikia yule bwana alikua katili na dikteta jumuiya za kimataifa ya nje walimchukia na kusababisha nchi kutofunguka, iweje sasa awe amekopa pesa nyingi hivyo za miradi mikubwa. Ni kina nani walimkopesha ikiwa alikua dikteta? Nawazaga sana...
WaongoNchi ngumu sana hii, walisema aliifunga Nchi tukakosa Mikopo na Misaada kutoka nje, Wao wameifungua Nchi na fedha zinaanza kumiminika! Unajua kuna wakati wanaona aibu kusema ukweli, wanaangalia upepo wa wakati huo ndiyo maana hizi contradiction zinatokea.
Mbona kama unatumia hasira Mkuu? Hapa tunaelimishana, kama ulikuwa unafuatilia hotuba za Mwendazake kuna wakati alisema walipotaka kuanzisha Mradi wa Reli "SGR" waliomba fedha za mkopo ili kuanzisha na wakapewa Masharti magumu, ikabidi watumie fedha za ndani kuanzisha Mradi huo ndipo baadae wakajitokeza kutoa Mikopo yenye Masharti nafuu.Umeona lkn Rais alichozungumza kuhusu miradi na fedha zake? Point ndio hiyo amesema ni mikopo kutoka nje ya wafadhil!! Basi tufanye hivi... Awamu ya tano miradi yote mikubwa iliendeshwa kwa fedha za ndani!! Over!!
Kwani hakuna Miradi iliyofanyika kwa fedha za ndani? Lile daraja pale Kigamboni ni mkopo wa nje? Hata Mradi wa Reli ulianza kutekelezwa kwa fedha za ndani, uwe unafuatilia mambo si kuwasikiliza tu Wanasiasa, kama uliambiwa tunajenga kwa fedha za ndani na Mwanasiasa ukaamini leo unaambiwa na Mwanasiasa tulikopeshwa unaamini, yupi yupo sahihi kwako hapo, do you have any evidence?Si tulikuwa tunaambiwa tunajenga kwa fedha za ndani?
Kwa tafsiri ni kuwa tumeijenga kwa fedha zetu lakini tulikopeshwa, tatizo ni itaendeleaje?
[emoji15][emoji15][emoji848] Tuachane na hilo la pili kwamba itaendeleaje.. Maana hata yeye hapa anatia shaka..! Sasa tuje kwenye tafsiri ya 'fedha zetu Lakini tulikopeshwa'[emoji848]... Kikiwa chako ni chako huwezi ukakopeshwa na yoyote yule bali unaweza kukopesha.. PERIOD!
Peas iliyojenga miradi mikubwa ilikuwa ni ya MIKOPO MIKUBWA YA SIRI isiyojulikana masharti yake
Sawa. PSSSF wanahusika hapa. Wapo Hoi bin taaban.Inawezekana ni fedha za mkopo kutoka ndani ya Nchi, sijaona mahali aliposema vinginevyo, yeye kasema tulijenga kwa fedha zetu lakini za mkopo, kwani lazima kila mkopo uwe wa fedha za nje?
Mradi gani hauendelei? Umelewa chimpumu nini?