Interview ya Diamond Clouds: Namshauri ajihadhari na udhalilishaji wanawake

Sisi wanaume hakuna kingine. Watu kibao wana hizo skendo, yupo demu humu povu linamtoka kumlaumu Mondi bila kujua Mzee wake kapiga hiyo issue pia. Ataelezwa baadae na mzee wake.
 
Nilikuwa natizama haka kafilamu kimiya kimiya, sikutaka suturesi na mutu, ila Hii komenti imenifanya nishindwe kuvumiliapo mukulu, tafadhali nakupa ofa ya kufanya shopping Dubai, asante kwa kunisikiliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msalimie bibi tukinao
 
Sasa amuheshimu vipi zaidi ya hivi alivyofanya katika kushughulikia hili? Kama ni kukosa tayari kosa lilishatokea na maji hayazoleki, ila alichokifanya Diamond tangu mwanzo wa hili sakata na alichokiongea kwenye mahojiano leo kila mwenye akili timamu atakiri kijana AMEKUA sasa. Hata nyie mnaomhukumu sio wasafi kama malaika jamani kila mtu ana yake.
 
Kwani kuitembeza kila kona ndo maana halis ya hiyo mashine
Sio wajinga watu mpaka kwenye sherehe vikawepo vyakula tofauti tofauti.....kama ilivyo mwanaume kwa wanawake....usidanganyike....active machine lazima ikate mbuga nyingi....wali maharage daily unachosha!
 
Anza Leo kunywa mkuu.
 
Kwani anakujuwa hata ukifa msinani kwako haji kafiye mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…