mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
uchambuzi yakinifu yote yaliyojiri leo hayo apo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa natizama haka kafilamu kimiya kimiya, sikutaka suturesi na mutu, ila Hii komenti imenifanya nishindwe kuvumiliapo mukulu, tafadhali nakupa ofa ya kufanya shopping Dubai, asante kwa kunisikiliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msalimie bibi tukinaoHahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,yaani furaha niliyonayo ningekuwa mlevi ningekunywa mpaka nijinyee..Zari alijitoa sana akili,akajifanya mtoto wa 20's,alitamba sana na Diamond utadhani Dai ndo aliyemtoa Bikira,alifanya upumbavu bila kujali ni kwa kiasi gani Ivan alikuwa anaumia...tena bila aibu msibani akasema yeye alimove on utadhani aliulizwa..ndani ya mwezi wa kuanzisha mahusiano yao akashika mimba coz alijua Dai ana kiu ya mwana...tena akaona haitoshi alipoona Dai kaanza kucheat akashika mimba nyingine wakati Latifa akiwa na miezi 4(Hii yote ili tu amweke Daimond...kafiwa na mama yake akawa anafanya ujinga na kibenten chake,kuanzia msibani mpk kwenye so called Baecation...Lol,Mwanamke hana haya huyu...HAMISA..Asante kwa kazi nzuri,Hata wakirudiana..KUNYOOKA atakuwa KANYOOKA punguani WAHED HUYU...Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
vinarelate trust memaisha yake binafsi hayahusiana na music wake
Sio wajinga watu mpaka kwenye sherehe vikawepo vyakula tofauti tofauti.....kama ilivyo mwanaume kwa wanawake....usidanganyike....active machine lazima ikate mbuga nyingi....wali maharage daily unachosha!Kwani kuitembeza kila kona ndo maana halis ya hiyo mashine
tafuna mobeto kama karanga zakeMnamlaumu diamond wanini? Si msilamu? Mwsho wanawake wanne, wamejichanganya wenyewe avha waliwe
njoo tudiscussKwani kuitembeza kila kona ndo maana halis ya hiyo mashine
wanandoa wataskizanaWakirudiana atakuwa ameamua kujisacrifice haswaa kwakweli sio kwa aibu hii
Kwa ndoa ipi mkuuwanandoa wataskizana
natamanigi nkuombe namba ya sim sema ndo vile mi maskini alafu bahili. je utanipendaWenye team zenu mnatakiwa muupende mziki wake tu na sio kupenda life style yake poleni jamaan
kasagie mahindmwanaume machine
Anza Leo kunywa mkuu.Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,yaani furaha niliyonayo ningekuwa mlevi ningekunywa mpaka nijinyee..Zari alijitoa sana akili,akajifanya mtoto wa 20's,alitamba sana na Diamond utadhani Dai ndo aliyemtoa Bikira,alifanya upumbavu bila kujali ni kwa kiasi gani Ivan alikuwa anaumia...tena bila aibu msibani akasema yeye alimove on utadhani aliulizwa..ndani ya mwezi wa kuanzisha mahusiano yao akashika mimba coz alijua Dai ana kiu ya mwana...tena akaona haitoshi alipoona Dai kaanza kucheat akashika mimba nyingine wakati Latifa akiwa na miezi 4(Hii yote ili tu amweke Daimond...kafiwa na mama yake akawa anafanya ujinga na kibenten chake,kuanzia msibani mpk kwenye so called Baecation...Lol,Mwanamke hana haya huyu...HAMISA..Asante kwa kazi nzuri,Hata wakirudiana..KUNYOOKA atakuwa KANYOOKA punguani WAHED HUYU...Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa