Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Domo anaroho mbaya sana,lkn jamaa kammaliza kuwa siku ukinikuta nimevaa taulo la mamako ndo utajiuliza lini ulinipumulia na sijui utaniita Uncle au DaddyNmechukia kinyama leo baada ya kupata ukweli leo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Mimi nmefurahi Sana'a maana huyo domo anataka kujifanya mungu MTUSema uyu jamaa wakuitwa Daud Mchambuzi amefurahi sana kuona Diamond anashambuliwa. Lkn vp iv kuna mtu keshawahi jiuliza effect ya kutukanwa sana mitandaoni somtymz inawez pelekea reaction za namn ile na sio tu kila kitu watu tunatukaaana ndo maana wasanii wetu wanaogopa ata kukazana wawe kama Diamond na kiba wanajua tu mtawatafutia mapungufu mtukane
Mbona kiba anatukanwa sana tu jamani!!Sema uyu jamaa wakuitwa Daud Mchambuzi amefurahi sana kuona Diamond anashambuliwa. Lkn vp iv kuna mtu keshawahi jiuliza effect ya kutukanwa sana mitandaoni somtymz inawez pelekea reaction za namn ile na sio tu kila kitu watu tunatukaaana ndo maana wasanii wetu wanaogopa ata kukazana wawe kama Diamond na kiba wanajua tu mtawatafutia mapungufu mtukane
Yani wote ni catalystsIla kaswahili kale kamtu, na kenyewe kanapenda vimaneno manenooo!! Sasa mtu wa hivyo ndio kamzunguka D utegemee nini!!
Ommy alichokifanya leo kawabandua zile plasta kwenye chuchu zenu akazibandika kwenye midomo yenu. Mmebaki kimyaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1billionKaingiza kiasi gani cha fedha tangu aanze kusema ya viewers?
Yeah ata Mimi nimetolea mfano Diamond na kiba wanavyotukanwa inaogopesha wasanii wengi wachanga au wa level ya kati kujaribu kwenda international zaidi coz mainternational wa mfano kila wakikosea point moja wanatukanwa matusi laki. Inadissapoint sanaMbona kiba anatukanwa sana tu jamani!!
Naomba iyo picha ya lembebez [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naunga mkonyo hoja
cloudz wachonganishi sana!
haikuwepo haja ya kuwaita tofauti..
kwanini wasingewaita wote jana
kila mtu akajieleza..
wakakosoana
kesi za upande mmoja ngumu kuzijudge kwakweli
1billion
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] au duller skwea...Hivi eeeh inaweza kuwa ni yeye
Poleni jamani leo Ommy amewaacha uchi mliandaa matusi cha kushangaza Ommy amewaua very softly [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwel binadamu tumeumbiwa usahaulifu.
Hivi ulisikilza interview ya omi alivyokua anabwabwaja kua wa2 wananunua views etc. Kisa kujibiwa jana tena kagongwa ikulu kaja mikono nyuma kwa upole km sio yupe omi wa wiki 2 zilizopita. Maisha bila unafki hayaendi
Sema utakuwa unamtazam vibaya tu lkn ni mtu poa tu kwa watu wengi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Mimi nmefurahi Sana'a maana huyo domo anataka kujifanya mungu MTU
ndo ujiuulize sasa, rich mavoco Jana alikuwa XXL leo kashafika Marekani ana show.. Dunia kijiji leo diamond kapokelewa kwenye kisiwa cha mayote kama president.. Wengine bado wanasubili show za masasi.Wakati Jana mchana alikuwa xxl na yeye huko visiwan kaenda SAA ngapi, ongea ulicho na uhakika nacho
Halafu kitendo hicho ni muda mfupi tu , so it's possible maana yule mama c kwa kumwonea wivu mwanae..mxiuuu shame on them!![emoji57] [emoji57] [emoji57]
Sasa pale alipomwambia kuwa ataenda kwa huyo mzee kwanini mond asiseme kuwa na yeye ana the same idea alichofanya akanyatia akakutwa anafanya kilekile alichosema mwenzake jana yake.Kaka kaiba idea ipi. Ni ile ya kumtumia mzee wa saxofone? I bet no. Ommy D sio wa kwanza kumtumia yule mzee.
Leo nimemsikiliza huyu jamaa. Huwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wa kutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na Diamond.
[emoji23]Kama vile umesikia jambazi kauawa alafu ukatoka na maneno ya shombo yakikutoka khanga kiunoni, kufika unakuta ni mumeo. Vile litavyokushuka ndio hii ilotokea hapa.