Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Sema uyu jamaa wakuitwa Daud Mchambuzi amefurahi sana kuona Diamond anashambuliwa. Lkn vp iv kuna mtu keshawahi jiuliza effect ya kutukanwa sana mitandaoni somtymz inawez pelekea reaction za namn ile na sio tu kila kitu watu tunatukaaana ndo maana wasanii wetu wanaogopa ata kukazana wawe kama Diamond na kiba wanajua tu mtawatafutia mapungufu mtukane
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Mimi nmefurahi Sana'a maana huyo domo anataka kujifanya mungu MTU
 
Mbona kiba anatukanwa sana tu jamani!!
 
Mbona kiba anatukanwa sana tu jamani!!
Yeah ata Mimi nimetolea mfano Diamond na kiba wanavyotukanwa inaogopesha wasanii wengi wachanga au wa level ya kati kujaribu kwenda international zaidi coz mainternational wa mfano kila wakikosea point moja wanatukanwa matusi laki. Inadissapoint sana
 
Kwel binadamu tumeumbiwa usahaulifu.
Hivi ulisikilza interview ya omi alivyokua anabwabwaja kua wa2 wananunua views etc. Kisa kujibiwa jana tena kagongwa ikulu kaja mikono nyuma kwa upole km sio yupe omi wa wiki 2 zilizopita. Maisha bila unafki hayaendi
Poleni jamani leo Ommy amewaacha uchi mliandaa matusi cha kushangaza Ommy amewaua very softly [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ushahidi wa hayo wana ujua wenyewe, na Diamond akiongea mtasema Nani mkweli?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Mimi nmefurahi Sana'a maana huyo domo anataka kujifanya mungu MTU
Sema utakuwa unamtazam vibaya tu lkn ni mtu poa tu kwa watu wengi
 
Wakati Jana mchana alikuwa xxl na yeye huko visiwan kaenda SAA ngapi, ongea ulicho na uhakika nacho
Halafu kitendo hicho ni muda mfupi tu , so it's possible maana yule mama c kwa kumwonea wivu mwanae..mxiuuu shame on them!![emoji57] [emoji57] [emoji57]
ndo ujiuulize sasa, rich mavoco Jana alikuwa XXL leo kashafika Marekani ana show.. Dunia kijiji leo diamond kapokelewa kwenye kisiwa cha mayote kama president.. Wengine bado wanasubili show za masasi.
 
Kaka kaiba idea ipi. Ni ile ya kumtumia mzee wa saxofone? I bet no. Ommy D sio wa kwanza kumtumia yule mzee.
Sasa pale alipomwambia kuwa ataenda kwa huyo mzee kwanini mond asiseme kuwa na yeye ana the same idea alichofanya akanyatia akakutwa anafanya kilekile alichosema mwenzake jana yake.
Haya ommy kumshirikisha best yake kuwa ameongea na Davido amekubali colabo kwa dollar 3000 badala hata aseme kuwa na yeye ana the same idea yeye mond akaenda kumzunguka mwenzake akapanda dau akampa davido dollar 5000 wakafanya colabo.
Anatofauti gani na mchawi hapo?
 
Back
Top Bottom