Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Mayotte Mayotte Mayotte, haters gonna hate,HAKUNA KINACHOWEZA KUMSHUSHA MONDI KWA SASA,SIO MBAYA MKIENDELEA KUJIFURAHISHA HAPA JF.
Hahaha mkuu mliandaa mitusi ya kumshambulia Ommy bahati mbaya ameongea kwa busara inabidi hiyo mitusi mliyoandaa mkaimimine kwenye shimo la choo.

Hebu jiulize kwa nini mfalme Suleiman alikua anamlilia Mungu amjalie hekima tu?
 
Kwan baada hapo alishidwa kumfata davido kaja mara ngapi bongo kashindwa fanya nae collabo
 
huko twitani bwana meneja nae yu matatani [emoji23][emoji23][emoji23]...hii wiki itakua tam sana [emoji23]....hivi BCW wanakulaga nini
 
Ulisikia ile kashfa ya gazetini kwamba jamaa anamlala mama yake kila jumatano ili asishuke kimziki?kashfa kubwa sana kwa D
Kwani kasema anamlala au analala na mama ake? Hiki kiswahili au me ndo sielewi [emoji42]
 
Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
Hekima sio matak.o useme kila mtu anayo.

Leo Ommy amem-outsmart domo na team yake wanatafuta pakuficha sura zao.
 
Hahaha mkuu mliandaa mitusi ya kumshambulia Ommy bahati mbaya ameongea kwa busara inabidi hiyo mitusi mliyoandaa mkaimimine kwenye shimo la choo.

Hebu jiulize kwa nini mfalme Suleiman alikua anamlilia Mungu amjalie hekima tu?
Busara gani? Ameongea kwa kujibembeleza na kutafuta huruma,NYIE NI HATERS,HATERS,HATERS NA HAMTOFANIKIWA KUMCHUKIA MWANAUME MWENZENU,CHUKI ZA KIMASKINI.
 
Wajina inamaana huoni tu kuwa Diamond ame-bite idea za ommy alizokua akimshirikisha? Au ndiyo mahaba?
 
Nimekuja kugundua diamond ana roho mbaya aiseeee,big up ommy
Namjua sana huyu bwana mdogo tangu anapoanza muziki ana busara sana ila dogo Diamond tangu afanikiwe amekuwa na roho mbaya sana tangu tukutane pale Posta siku moja akajifanya eti hanijui na hakutaka hata salamu..![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…