Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Katika hilo ndo nimeprove kwamba jamaa ana akili ndogo kweli, mbona watu wenye roho mbaya, wanaocheza dili haramu na michezo michafu ndo wenye mafanikio makubwa siku zote??

Btw sielewi ni mafanikio gani aliyopata yanayotosha kuwapigia wenzake kelele!!
 
huko twitani bwana meneja nae yu matatani [emoji23][emoji23][emoji23]...hii wiki itakua tam sana [emoji23]....hivi BCW wanakulaga nini
Huyu meneja Sallam ana p.h.d ya unafiki na uchonganishi na ndiyo mtu anayeshiriki kumponza Diamond.
 
Mbona leo mnaloo!! Hapo kibaya kiko wapi!! Mlivyokazana na madesa yenu ambayo hata hayahusiki ndio mnazidi kutia huruma.

Pole, kampepee boss ohooo!!!
Mbona alifuta km hamna ubaya
Je wajua [HASHTAG]#simba[/HASHTAG] [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG]
 
Busara gani? Ameongea kwa kujibembeleza na kutafuta huruma,NYIE NI HATERS,HATERS,HATERS NA HAMTOFANIKIWA KUMCHUKIA MWANAUME MWENZENU,CHUKI ZA KIMASKINI.
Mkuu tafuta shimo la choo ukaporomoshe mitusi yote uliyoandaa kwajili ya ommy coz amewa-outsmart mmebaki mmetepweta.
 
Story ya Ommy imenikumbusha rafiki yangu mmoja alokua akinosaidia wakati sina ila nilivyoanza kunyenyuka tu akaanza kunishusha khaaaa. Ila kwa mapovu ya diamond kwa upande wangu namuona yeye ndio mkorofi
 
Inakua haina maana tena.
Haina maana tena vipi mbona joh makini kafanya collabo n davido vitu vingine kaongea havina fact hapo ommy katudaganya tuje kwa iyanga ile ngoma ya diamond ft iyanya bumbum ommy nae c alitokea kwny video sasa alimzuguka vipi yeye kwnd kufanya kazi n iyanya
 
Sikiliza hiyo interview Ommy amenyoosha maelezo.
Mond ka-bite ideas za Ommy na amemsinch tangu kwenye msingi.
Nyimbo ya dully tazama iko kwenye channel ya WCB that means mtonyo unaingia WCB, hao kina rayvan , harmonize na mavoko wako chini ya WCB so kila anachofanya diamond mtonyo unarudi kwenye kampuni yake ya WCB.
 
We una utajiri gani? Diamond siyo maskini,hana shida kama wewe KUSHINDA mitandaoni kumchafua ili aonekane mbaya ashuke kimuziki,ridhiki ya mtu anapanga Mungu hata uombe vipi mabaya huwezi mshusha kwa maneno,MNAMCHOKOZA AKIWAJIBU MNAKIMBILIA KUMUITA MASKINI,MARA MSWAHILI,GET THE https://jamii.app/JFUserGuide UP BOY,GET LIFE MOTHER..FUCKER.
 
Yaani umenifanya nikumbuke ile chorus, boonge la chorus yaani.
Yaniiiiiii Ali Kiba fundi sana.
Hadi nimesisimkwa nikifikiria anavyotambaa na beat na ile sauti yake tamu...
[emoji444] Nainai...ukinikubali sikatai jua you always on mind... (Always on mind)
Ukinipa sikatai nakupenda sana you always on mind...[emoji444]

Achaaaaaa [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Joh anafanya Rap music, tofauti na mond na ommy both wanaimba.
Kwanini Ommy ale makombo wakati yeye ndiyo mpishi mkuu???
Mimi nipike chakula uibe sufuria lote ule chakula uniachie ukoko unadhani nitakula hayo makombo? Hata hiyo sufuria sitaitumia tena, labda nitumie kulishia mbwa.
 
Tena wanatafuta haki zao in public na support all over the world.
Ila si ishu ya kutembea na mama mzazi [emoji16] imekaa vibaya hiyoooo

mbona hii sikuisikia nani anatembea na mama yake mzazi? Maana hii laana inaweza kutafuna vizazi vya mtu .
 
Mkuu umekitonesha kidonda changu kilichoanza kupona kuhusu Ommy alivyomchunia Kiba aliporejea.

Iliniumaaaaa,nilimchukia Ommy sana,nilimunfollow hadi leo sijamfollow tena.
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…