Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Katika hilo ndo nimeprove kwamba jamaa ana akili ndogo kweli, mbona watu wenye roho mbaya, wanaocheza dili haramu na michezo michafu ndo wenye mafanikio makubwa siku zote??Leo naona ommy kawatuliza wote, diamond lazma ajue kuwa mafanikio sio kigezo cha mtu kywa mtakatifu, mungu wetu habagui hta kidogo, kwake ss sote tuko sawa licha ya kuwa waovu au wasafi. na hutoa rizk kwa yeyote yule, ingekuwa hivyo wale walokole/waislam safi wote wangekuwa matajiri.
Btw sielewi ni mafanikio gani aliyopata yanayotosha kuwapigia wenzake kelele!!