Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Mnamuhukumu diamond platnumz vibaya, lkn mkae mkijua mondi naye ni binadam ana moyo, anaumia ila huwa anareact vibaya. Kwa tz hii hamna msanii anayesemwa vibaya kama diamond platnumz lkn hili hamlioni (labda nanyi mnaoongozwa na chuki pamoja na roho mbaya zenu). Mondi kaitwa majina kibao
1.Domo
2.Anasura mbaya
3.Anajipendekeza
4.Anawatumia waganga
5.Anawaloga wenzie
6.Ananunua tuzo
7.Ana sauti mbaya
8.Analala na mama yake (hili nalisikia leo)
9.Mziki wake wa ujanja
10.Ananunua view
11.watu wakamwanzishia hash tag votefordavido, mpaka mmoja wa ma-x wake wakacomment ktk page ya davido kuwachochea watu, ikaja tena hash tag vote forwizkid (na uzi humu jamii forum ukafunguliwa kuhamasisha na asilimia sabini mliokomenti ktk uzi huu wa leo mliusapoti nikianza na Nifah). Lkn hamna hata mmoja wenu aliyemtetea diamond platnumz.
Diamond platnumz kavumilia wee, lkn mwisho wa siku yanauma, ila the way alivyo react amempa faida ommy, ila hamko fair leo mnasema mondi ana roho mbaya lkn msanii pekee ana watu zaidi ya 30 anawalipa yy, mondi ana label, leo hii harmonize ana kolabo na korede bello (wasanii wengi wanaitafuta hii chance), mondi kawalipia ela ya shooting ya motto band nadhani output mmeiona kwa hawa vijana, mondi kamsaidia braza wake aliyemtoa ktk mziki dully sykes sasa hivi ana hit ya inde na MONDI ndiye aliyemuunganisha Joh makini kwa AKA wakafanya don't bother ALAFU LEO MONDI ana roho mbaya, siwaelewi au mnajifanya vipofu, msanii gani unayemjua alishawahi kufanya hivi ukimtoa AY . Ila siku zote mtoto mdogo akimpiga mtu mzima anaonekana jasiri, ila mtu mzima akimpiga mtoto anamwonea (bila hatakuuliza huyo mtoto kafanya nn). Alafu kuhusu kubaniwa kolabo na davido, davido tz kaja mara ngapi, alishindwa kumwambia wafanye kolabo au labda alikuwa na wasiwasi na nyimbo yake, mbona AY alifanya kolabo na J Martin ktk cheza bila kukunja goti na yy akaja kufanya tupogo na J Martin, mbona ameshindwa kufanya hivyo kwa davido . Mtu wakujilaumu ni yy mwenyewe kwa kushindwa kuheshim mkataba wake na AY mpaka AY akaamua kuachana na maswala ya label, Ila AY sio mlalamishi aka take easy. Mimi kwangu mm jamaa anatafuta watu wamwonee huruma, ila sioni kama alichoongea kina mantiki, humu wengi sana ni team ya upande wa pili ndio maana mnaponda na mnafurahi, ila mwisho wa siku huyu diamond platnumz pekee yake ni kama kampuni, kwa huyo kushuka kiuchumi na kimziki mtasubiri sana kwani saa yake bado, sio sasa na usichokipenda ww usikitie hila ukadhani wenzako hawakipendi. Ila punguzeni chuki hebu angalieni upande wa pili alafu ww ndio uvae viatu vya MONDI inauma sana.
 
Hujamuelewa ommy yote hayo yalikuwa yakitokea lakn still alikuwa anafunika kombe na ushikaji unaendelea kama kawaida
Iyo haikuwa sababu ya kuvunja ushikaji km diamond angemuambia davido au iyanya wasifanye n ommy kazi hapo kweli angekuwa amekosea ila sio kuwahi kufanya kolabo n diamond alishasemaga A.Y ndo alimuunganishia kwa davido
 
Mnamuhukumu diamond platnumz vibaya, lkn mkae mkijua mondi naye ni binadam ana moyo, anaumia ila huwa anareact vibaya. Kwa tz hii hamna msanii aliyesemwa vibaya kama diamond platnumz lkn hili hamlioni (labda nanyi mnaoongozwa na chuki pamoja na roho mbaya zenu). Mondi kaitwa majina kibao
1.Domo
2.Anasura mbaya
3.Anajipendekeza
4.Anawatumia waganga
5.Anawaloga wenzie
6.Ananunua tuzo
7.Ana sauti mbaya
8.Analala na mama yake (hili nalisikia leo)
9.Mziki wake wa ujanja
10.Ananunua view
11.watu wakamwanzishia hash tag votefordavido, mpaka mmoja wa ma-x wake wakacomment ktk page ya davido kuwachochea watu, ikaja tena hash tag vote forwizkid (na uzi humu jamii forum ukafunguliwa kuhamasisha na asilimia sabini mliokomenti ktk uzi huu wa leo mliusapoti nikianza na Nifah). Lkn hamna hata mmoja wenu aliyemtetea diamond platnumz.
Diamond platnumz kavumilia wee, lkn mwisho wa siku yanauma, ila the way alivyo react amempa faida ommy, ila hamko fair leo mnasema mondi ana roho mbaya lkn msanii pekee ana watu zaidi ya 30 anawalipa yy, mondi ana label, leo hii harmonize ana kolabo na korede bello (wasanii wengi wanaitafuta hii chance), mondi kawalipia ela ya shooting ya motto band nadhani output mmeiona kwa hawa vijana, mondi kamsaidia braza wake aliyemtoa ktk band dully sykes sasa hivi ana hit ya inde ALAFU LEO MONDI ana roho mbaya. Ila siku zote mtoto mdogo akimpiga mtu mzima anaonekana jasiri, ila mtu mzima akimpiga mtoto anamwonea (bila hatakuuliza huyo mtoto kafanya nn). Alafu kuhusu kubaniwa kolabo na davido, davido tz kaja mara ngapi, alishindwa kumwambia wafanye kolabo au labda alikuwa na wasiwasi na nyimbo yake, mbona AY alifanya kolabo na J Martin ktk cheza bila kukunja goti na yy akaja kufanya tupogo na J Martin, mbona ameshindwa kufanya hivyo kwa davido . Mtu wakujilaumu ni yy mwenyewe kwa kushindwa kuheshim mkataba wake na AY mpaka AY akaamua kuachana na maswala ya label, Ila AY sio mlalamishi aka take easy. Mimi kwangu mm jamaa anatafuta watu wamwonee huruma, ila sioni kama alichoongea kina mantiki, humu wengi sana ni team ya upande wa pili ndio maana mnaponda na mnafurahi, ila mwisho wa siku huyu diamond platnumz pekee yake ni kama kampuni, kwa huyo kushuka kiuchumi na kimziki mtasubiri sana kwani saa yake bado, sio sasa na usichokipenda ww usikitie hila ukadhani wenzako hawakipendi. Ila punguzeni chuki hebu angalieni upande wa pili alafu ww ndio uvae viatu vya MONDI inauma sana.
Ongea ww nikiongea Mimi ntaonekana namtetea
 
Walitaka anyamaze wazidi kumpanda kichwani acha wamaind2 kwani bei gani bhana[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Interview ya leo tu inaingiza mpunga wa kutosha kwa Ommy coz watu wengi sana wamejua ukweli wamehamia upande wake wanaview kazi zake mtonyo unaongezeka.

Mimi binafsi nimekua loyal fun wa Ommy baada ya kuona hekima zake kwenye mahojiano aliyofanya times FM alihojiwa na jamaa mmoja anaitwa somebody Omary. Baada ya hapo nikaenda you tube nikaview "kajiandae" nikamuingizia pesa hapo.

Unajua ni kwanini mfalme Suleiman alimlilia Mungu ampe hekima tu?

Na wewe umemezwa na uongo uliojaa na hiyo ongea ha ha haaaaaa ,kawapata hata Diamond ana afadhali

Kwanini hakumtaja AY anamtaja meneja? Au umesahau walikuatana vipi Diamond na Davido?

Hakuwa na ubavu ndio anautafuta ili hata Davido labda asikie yupo

Hawana cha maana, ni jina la Diamond wanalitaja ili wapate kiki

Hakuna jingine

Poleni kwa kumezwa na wasio na akili za kujipaisha wenyewe hadi Diamond.

Diamonds are ....

Malizia basi

Na haumpendi Diamond acha kujikosha sijui una wivu nae upi hata zuri uwa unapindisha kiaina, nimekuwa nakusoma sana humu. Hakuna linalojificha chini ya jua

Ukae salama
 
Kwan baada hapo alishidwa kumfata davido kaja mara ngapi bongo kashindwa fanya nae collabo
Chukulia mfano, wewe una best yako unayeshirikiana ktk kila jambo, unamuonyesha gari uliyopenda kuinunua,kupitia adress hiyohiyo uliyomuonyesha, siku inayofuata unamkuta ndio anafanya final payment ya gari uliyomuonyesha tena kaipandia dau, wewe utajisikiaje? Ni dhahiri hutafurahishwa, labda kama unaongea kishabiki tu😀
 
Omy mnaaaa tu na anajua kujielezea, ila mi point kubwa naona kama alikua kuna mtu anataka kumpa hii kesi na hasa salaaam kwasabab kweny kila ishu inaonyesha kuna mtu kat aliingia.
 
Mnamuhukumu diamond platnumz vibaya, lkn mkae mkijua mondi naye ni binadam ana moyo, anaumia ila huwa anareact vibaya. Kwa tz hii hamna msanii anayesemwa vibaya kama diamond platnumz lkn hili hamlioni (labda nanyi mnaoongozwa na chuki pamoja na roho mbaya zenu). Mondi kaitwa majina kibao
1.Domo
2.Anasura mbaya
3.Anajipendekeza
4.Anawatumia waganga
5.Anawaloga wenzie
6.Ananunua tuzo
7.Ana sauti mbaya
8.Analala na mama yake (hili nalisikia leo)
9.Mziki wake wa ujanja
10.Ananunua view
11.watu wakamwanzishia hash tag votefordavido, mpaka mmoja wa ma-x wake wakacomment
Hivi Tanzania ina mitambo ya kuzalisha wajinga? Hapa umeandika upuuzi gani?
 
We una utajiri gani? Diamond siyo maskini,hana shida kama wewe KUSHINDA mitandaoni kumchafua ili aonekane mbaya ashuke kimuziki,ridhiki ya mtu anapanga Mungu hata uombe vipi mabaya huwezi mshusha kwa maneno,MNAMCHOKOZA AKIWAJIBU MNAKIMBILIA KUMUITA MASKINI,MARA MSWAHILI,GET THE **** UP BOY,GET LIFE MOTHER..FUCKER.
Wacha we!!!
Kweli Ommy sio mtu mzuri!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu umekitonesha kidonda changu kilichoanza kupona kuhusu Ommy alivyomchunia Kiba aliporejea.

Iliniumaaaaa,nilimchukia Ommy sana,nilimunfollow hadi leo sijamfollow tena.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila Kiba hakumuwekea kinyongo, kajipendekaza hukooo wakamtumia kama toiet paper then watu haooo.
Karudi Kiba kampokea,wamefanya kitu hot tena!!
Life has to go on at some point, sio kujifanya Mungu mtu.
 
Iyo haikuwa sababu ya kuvunja ushikaji km diamond angemuambia davido au iyanya wasifanye n ommy kazi hapo kweli angekuwa amekosea ila sio kuwahi kufanya kolabo n diamond alishasemaga A.Y ndo alimuunganishia kwa davido
Sasa ulitegemea asemeje? Jiongeze basi.
 
Chukulia mfano, wewe una best yako unayeshirikiana ktk kila jambo, unamuonyesha gari uliyopenda kuinunua,kupitia adress hiyohiyo uliyomuonyesha, siku inayofuata unamkuta ndio anafanya final payment ya gari uliyomuonyesha tena kaipandia dau, wewe utajisikiaje? Ni dhahiri hutafurahishwa, labda kama unaongea kishabiki tu😀
Na Ommy angefanya ungesikia kamuiga mond!!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila Kiba hakumuwekea kinyongo, kajipendekaza hukooo wakamtumia kama toiet paper then watu haooo.
Karudi Kiba kampokea,wamefanya kitu hot tena!!
Life has to go on at some point, sio kujifanya Mungu mtu.

Sure,umesema bonge la point atoto.
[emoji8]
 
Back
Top Bottom