joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mnamuhukumu diamond platnumz vibaya, lkn mkae mkijua mondi naye ni binadam ana moyo, anaumia ila huwa anareact vibaya. Kwa tz hii hamna msanii anayesemwa vibaya kama diamond platnumz lkn hili hamlioni (labda nanyi mnaoongozwa na chuki pamoja na roho mbaya zenu). Mondi kaitwa majina kibao
1.Domo
2.Anasura mbaya
3.Anajipendekeza
4.Anawatumia waganga
5.Anawaloga wenzie
6.Ananunua tuzo
7.Ana sauti mbaya
8.Analala na mama yake (hili nalisikia leo)
9.Mziki wake wa ujanja
10.Ananunua view
11.watu wakamwanzishia hash tag votefordavido, mpaka mmoja wa ma-x wake wakacomment ktk page ya davido kuwachochea watu, ikaja tena hash tag vote forwizkid (na uzi humu jamii forum ukafunguliwa kuhamasisha na asilimia sabini mliokomenti ktk uzi huu wa leo mliusapoti nikianza na Nifah). Lkn hamna hata mmoja wenu aliyemtetea diamond platnumz.
Diamond platnumz kavumilia wee, lkn mwisho wa siku yanauma, ila the way alivyo react amempa faida ommy, ila hamko fair leo mnasema mondi ana roho mbaya lkn msanii pekee ana watu zaidi ya 30 anawalipa yy, mondi ana label, leo hii harmonize ana kolabo na korede bello (wasanii wengi wanaitafuta hii chance), mondi kawalipia ela ya shooting ya motto band nadhani output mmeiona kwa hawa vijana, mondi kamsaidia braza wake aliyemtoa ktk mziki dully sykes sasa hivi ana hit ya inde na MONDI ndiye aliyemuunganisha Joh makini kwa AKA wakafanya don't bother ALAFU LEO MONDI ana roho mbaya, siwaelewi au mnajifanya vipofu, msanii gani unayemjua alishawahi kufanya hivi ukimtoa AY . Ila siku zote mtoto mdogo akimpiga mtu mzima anaonekana jasiri, ila mtu mzima akimpiga mtoto anamwonea (bila hatakuuliza huyo mtoto kafanya nn). Alafu kuhusu kubaniwa kolabo na davido, davido tz kaja mara ngapi, alishindwa kumwambia wafanye kolabo au labda alikuwa na wasiwasi na nyimbo yake, mbona AY alifanya kolabo na J Martin ktk cheza bila kukunja goti na yy akaja kufanya tupogo na J Martin, mbona ameshindwa kufanya hivyo kwa davido . Mtu wakujilaumu ni yy mwenyewe kwa kushindwa kuheshim mkataba wake na AY mpaka AY akaamua kuachana na maswala ya label, Ila AY sio mlalamishi aka take easy. Mimi kwangu mm jamaa anatafuta watu wamwonee huruma, ila sioni kama alichoongea kina mantiki, humu wengi sana ni team ya upande wa pili ndio maana mnaponda na mnafurahi, ila mwisho wa siku huyu diamond platnumz pekee yake ni kama kampuni, kwa huyo kushuka kiuchumi na kimziki mtasubiri sana kwani saa yake bado, sio sasa na usichokipenda ww usikitie hila ukadhani wenzako hawakipendi. Ila punguzeni chuki hebu angalieni upande wa pili alafu ww ndio uvae viatu vya MONDI inauma sana.