Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

Anaongea kwa kujielewa big up poz kwa poz inaonyesha d ni mtu wa wivu na kutopenda kitu cha mtu
 
Leo nimemsikiliza huyu jamaa. Huwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wa kutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na Diamond.



Ommy kaamua kueleza ukweli walichogombana, inaonekana Diamond aliona katika ushikaji wao Ommy Dimpoz anataka kutembelea nyota yake akaamua kumpa distance. Ommy Dimpoz alipogundua anapewa distance na yy malengo yake ilikuwa kutumia network ya diamond kuwika akakasirika wakachuniana. Invyoonekana Diamond yy kaamua kufanya kazi zake kivyake lakini Ommy Dimpoz bado anatamani awe karibu na Diamond na Diamond hataki. Basi kila mmoja afanye kazi zake na waache vijembe.
 
D anapenda sifa
Nilikua nahis kitu kama icho na kama mwanaye tu poz kwa poz hakumuelewa vip hao wengine walioenda kuomba sapot? NAanajisifia yy mtu wawatu anasaidia watu kina mavoko navyrey, hamoniz, aah aende zake uko, shogaang wema kampost poz kwa poz asubuh akimsifia kamfurahisha skujua ninnini kumbe ni hii voice clip tuloskiliza, gudgud poz kwa poz
 
We unayemsfia unamjua?
Sina haja ya kumjua personaly maana maisha yangu hayamtegemei. Kinachofanya nimsifie ni jinsi anavyopambana kuukwepa umaskini. Kwani angebaki Tandale mngekuwa na nafasi ya kusikia habari zake au kumkosoa? The way he anavyo hustle ndo kinachinifurahisha. Mengine ni ya kawaida afterall he is "just a human being" kama sisi. Makosa na mapungufu anayo kama wote tulivyo ila uwezo wake wa kupambana na maisha sio wote tunao kwa kiwango chake.
Wengi tunaishia kulalamika tu ila wenye nia wanapigana na kutoka.
Hivi tunahitaji kumjua afande sele ili kujua kama jina lake lilikuwa juu kimuziki then akatoweka bila kujiwekea misingi ya kudumu kwenye game?
Mimi hata Ommydimpoz namkubali sana maana alikuwa dancer wa TID lakini ona sasa. Boss wake anapotea wkt yeye anapambana kufanikiwa. Hata Kiba namkubali sana ila kila mara huwa natamani aache "umwinyi" na apige kazi. Naona ameanza kubadilika ambalo ni jambo jema.
Muziki ni biashara na sio sauti tu. Na biashara yoyote haikosi fitna la sivyo kila mfanyabiashara angekuwa bilionea. Kama huwezi fitna kuwa na hakika kuwa utaishia kupata hela ya kula tu. Dunia yenyewe imejaa fitna itakuwa sie wakaaji wake?
Kama ni rahisi kubebana mbona Ommy asiende kumbeba TID ili nae afanikiwe?
 
Nilimsikiliza pia... nikajua kuwa dimond aliongea kwa jaziba alipanic na alikuwa anaongea kuonyesha anajua zaidi.

Ommy ameongelea zaidi kuharibika kwa mahusiano na kiasi gani inamuuma.

Kwa upande mwingine anaongea logic... yaani kama ni hasabu kafanya na kaonyesha njia na jibu kapatia.

Dimond ni capitalist flani hivi. Atakusogelea kama anainterest na wewe na azidi kufanikiwa na akiona wewe ni challenge anakufanyia u-isis asee connection akuzibia alafu anakuja kusema anataka tufike mbali zaidi kimziki hahahha.

Dimond sikunyingine sema nifike mbali kimziki sio tufike mbali kimziki huku unawabania wengine waliopo chini ako.
 
Mfano rejea kwny kauli alomwambia Ruge tena kwa kulalamika kuhusu bifu lake na kiba kwamba " hata kama mtu ni adui yako basi jaribu tu kuwa karibu naye kama Mimi nilivyo na Dimpoz apa " kama ulimsikia Ommy amesema alijiuliza kwann anachukuliw kama Adui lkn hakuuliza. Sasa wew mshabk jiulize kwann Diamond aliyazungumza hayo mbele ya Ommy . utagundua kwamb pengn tayari kuna chuki ilianz kuingia kati yao ambapo either Ommy alikuw snitch kweli au kuna mtu wa pembeni alikuw anamjaza maneno Diamond ndo maan akaw anajitoa taratbu kwa Ommy kwa mentality aliyojijengea kuwa Ommy ni snitch kwake
vuta subira mkuu,siku si nyingi utaona kitakacho tokea katika urafiki wa kiba na ommy,this g♥y should not be trusted he is a "snake". ni bonge la snitch soon mtaelewa ninacho kiongea.
 
Back
Top Bottom