Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Huyu atakuwa na presha ya kukosa wa kumpumulia sio bure
Sent from my SM-T111 using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-T111 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan kupakwa shida?Hope amekanusha tuhuma za kupakwa Korie.
Nijuze nimjueKutokana na maelezo ya ommy nimeshapata jibu nani ananpumuliwa
Isikilize iyo apo juuKaongea nn wengine hatujasikiliza
D anapenda sifaAnaongea kwa kujielewa big up poz kwa poz inaonyesha d ni mtu wa wivu na kutopenda kitu cha mtu
Leo nimemsikiliza huyu jamaa. Huwa simpendi ila leo nimemwelewa na sidhani kama ni wa kutupiwa lawama juu ya hili bifu lake na Diamond.
Nilikua nahis kitu kama icho na kama mwanaye tu poz kwa poz hakumuelewa vip hao wengine walioenda kuomba sapot? NAanajisifia yy mtu wawatu anasaidia watu kina mavoko navyrey, hamoniz, aah aende zake uko, shogaang wema kampost poz kwa poz asubuh akimsifia kamfurahisha skujua ninnini kumbe ni hii voice clip tuloskiliza, gudgud poz kwa pozD anapenda sifa
Sina haja ya kumjua personaly maana maisha yangu hayamtegemei. Kinachofanya nimsifie ni jinsi anavyopambana kuukwepa umaskini. Kwani angebaki Tandale mngekuwa na nafasi ya kusikia habari zake au kumkosoa? The way he anavyo hustle ndo kinachinifurahisha. Mengine ni ya kawaida afterall he is "just a human being" kama sisi. Makosa na mapungufu anayo kama wote tulivyo ila uwezo wake wa kupambana na maisha sio wote tunao kwa kiwango chake.We unayemsfia unamjua?
vuta subira mkuu,siku si nyingi utaona kitakacho tokea katika urafiki wa kiba na ommy,this g♥y should not be trusted he is a "snake". ni bonge la snitch soon mtaelewa ninacho kiongea.Mfano rejea kwny kauli alomwambia Ruge tena kwa kulalamika kuhusu bifu lake na kiba kwamba " hata kama mtu ni adui yako basi jaribu tu kuwa karibu naye kama Mimi nilivyo na Dimpoz apa " kama ulimsikia Ommy amesema alijiuliza kwann anachukuliw kama Adui lkn hakuuliza. Sasa wew mshabk jiulize kwann Diamond aliyazungumza hayo mbele ya Ommy . utagundua kwamb pengn tayari kuna chuki ilianz kuingia kati yao ambapo either Ommy alikuw snitch kweli au kuna mtu wa pembeni alikuw anamjaza maneno Diamond ndo maan akaw anajitoa taratbu kwa Ommy kwa mentality aliyojijengea kuwa Ommy ni snitch kwake