Interview za Lissu zinaacha maswali mengi kuliko majibu

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zina muelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia “kamuulize Mnyika”?.

Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.

Unataka ajibu kitu kisichomuhusu?
Alishasema yeye sio mmoja wa watia saini wala hahusiki na kamati ya fedha
 
Sugu,Mbowe,Msigwa,Lisu,Wenje hawa tayari washaelekea kibla.

mgumu ni Heche na Lema.
👆
hao awanaga kazi chafu.
 
Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.

Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Nashiwishika kusema hukufuatilia interview yote..

Ama umefuatilia lakini hukumwelewa kabisa..

Mathalani, ungeulizwa swali kama hilo wewe ungejibuje..?

Sio kwamba ni kweli wapo watu sahihi ndani ya chama wenye access na mambo fulani maalumu mf. Fedha na hao ndio wanaoweza kujibu maswali hayo huku wakiwa na evidence ya nyaraka kuthibitisha hoja hizo..?

Shida ya Tundu Lissu ni moja tu, NI MTU MKWELI, GENUINE & VERY INTELLIGENT. Hii tabia ya kusema ukweli Watanganyika wengi hatuna iwe wa vyama vya upinzani, wana CCM au wasio na vyama. Tumezoea kuishi kwa kupuliza na kusema uongo..

Mimi kwa maoni yangu, Hii interview ni bora sana na wakati wote amekwepa mitego ya mwandishi ambayo kama angejibu pasipo busara wala hekima kama unavyofikiri wewe, ndo angeleta mtafaruku na mganganyiko mbaya zaidi..
 
Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zinamuelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia kamuulize Mnyika ?.

Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Lissu ameanza kupoteza umakini.... mfano hizo hoja za fedha juzi John Mrema kazijibu vizuri sana alipobojiana na Kikeke angeweza tu ku refer kwa Mrema.

Nimemsikiliza kwa makini sana leo anaonekana ni mtu anayejaribu kujijenga sana binafsi. Mtu unasema unashiriki vikao vya chama unashindwa kuzitolea maelezo hoja ambazo ni dhahiri unaziweza. Join the chain kwani hizo program wanazoendesha za mikutano nchi nzima ni ruzuku tu ndo inagharamia?

Kwa kipindi cha leo pale Star TV nafikiri hata hao CCM wataanza kulala usingizi mzuri.
 
Kosa lake ni lipi?,asiseme kweli yake?
 
Kwani kuna shida gani wasemaji wa maeneo hayo wasijitokeze kujibu hoja hizo huku wakiwa na ushahidi unaojitosheleza..?

Hata huyo Mrema hakutoa majibu yenye kukata fitina zote. Alipapasa papasa tu na kuacha maswali mengi mengine..!

Kukata mzizi wa fitna ni kuja na data zilizowazi kuwa fedha zilizopatikana kwa mbinu ile ya kuchangisha fedha (Join The Chain) ili kugharamia programmes za chama ni kiasi hiki, zilitumika ktk matumizi haya na ushahidi ni huu..

Tundu Lissu is very honest. Anasema maswali yanayoulizwa ni mazuri na yanahitaji kujibiwa kwa nyaraka za ushahidi. Na wanaouliza wana haki hiyo na wanapaswa kujibiwa..

Alimwambia Odemba, nenda ofisi ya katibu mkuu. Huyo ndiye aliye ktk position nzuri kujibu hilo. Ni hivyo tu, basi..

Hata katika mfumo wa utendaji wa serikali, Makamu wa Rais hawezi kuwa anajua kila kitu hususani kwenye masuala yanayohusu fedha..

Kama ilivyo kwa makamu wa Rais wa nchi aliye na specific roles/functions, ndivyo ilivyo kwa makamu mwenyekiti wa chama chochote cha siasa sio CHADEMA tu bali hata huko CCM na vyama vingine..

Tundu Lissu wala haja complicate mambo bali anataka kutengeneza palipoharibika. Jaribuni kukubali ili mpone..!!
 
Kumbe pimbi hiyu hasikilizi au ametumwa na wanaomshikia akili?
 
Mleta mada, kama unataka Lissu afunguke anayoyajua kuhusu fedha za chama utamchukia zaidi , wengine wanaona bora apigepige chenga hivyohivyo kijanja. Maana akiyajibu maswali hayo chokonozi kwa kuusema ukweli itakuwa shida.
 
Mleta mada, kama unataka Lissu afunguke anayoyajua kuhusu fedha za chama utamchukia zaidi , wengine wanaona bora apigepige chenga hivyohivyo kijanja. Maana akiyajibu maswali hato chokonozi kwa kuusema ukweli itakuwa shida.
Tukubali tukatae mkiti wetu si salama kivile upande wa pesa ya chama, mengine tunafunika kombe
 
Back
Top Bottom