Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kwa hiyo huko kwenu CCM Kila mwanachama ana uwezo wa kueleza mapato na matumizi ya Chama?Heshima sana wanajamvi,
Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.
Interview zake zina muelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.
Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.
Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia “kamuulize Mnyika”?.
Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.