Interview za Lissu zinaacha maswali mengi kuliko majibu

Interview za Lissu zinaacha maswali mengi kuliko majibu

Heshima sana wanajamvi,

Kila Makamu Mwenyekiti akifanya interview anaonekana kama si mmoja wa kiongozi wa juu wa chama.

Interview zake zina muelekeo wa kukinufaisha CCM na kukibagaza chama chake.

Wakati huo huo anataka chama chake kimpatie nafasi ya kugombea uRais !.

Mfano unaulizwa na mwandishi wa habari juu ya fedha za chama unamwambia “kamuulize Mnyika”?.

Hapo hapo unamsifu Msigwa ni mtu muhimu wakati unajua anakibagaza chama !.
Kwa hiyo huko kwenu CCM Kila mwanachama ana uwezo wa kueleza mapato na matumizi ya Chama?
 
Back
Top Bottom