HakiKwanza_2015
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 381
- 557
- Thread starter
-
- #21
Si wataita kwenye relevant qualificationsKwahiyo umeambiwa irrelevant kisha interview irudiwe na wewe na irrelevant yako uende tena ili matokeo yakitoka uambiwe tena irrelevant sasa hiyo interview itarudiwa mara ngapi Mkuu.
Cha msingi jipange kwa wakati mwingine.
Bila matusi huwezi ukatoa hoja ukaeleweka?? Sasa ujinga umetoka wapi? Mjinga ni wewe au TRA ambao wameweka mchujo? Ina maana taasisi imefanya ujinga kuweka mchujo wa kujua nani anafaa kuwa mshindani au sio. So kumpima mtu mshindani unamuangalia usoni? Basi wangewachukua waliopata 36 badala ya wenye 90.Hapa ndipo ninapokuona mjinga kwamba ww unaangalia marks au sio. Kibaya sisi kama TIHARAHEI tunatafuta watu washindani nyie mnaojidai mnajua kukariri sana tunawatema maana hamna akili. Alafu watoto wa mabosi zetu watafanya kazi wapi au unataka mabosi zetu watuachishe kazi madogo waje wafanye kazi
Familia ya kijinga ni ile inayozaa mtoto asiye jua ustaarabu anashinda kuita wengine wajinga mitandaoni. Kakae chini na baba yako na mama yako aliekuzaa akufundishe adabu na jinsi ya kuwasilisha hoja bila matusi. Hakuna wakubwa kwenu?Alaf sio lazima ufanye kazi TRA ili maisha yaende. Wapo watu kibao wanapambana mtaani huyo wa tra mwemyewe haoni upepo. Jipange sana asee fikra zako huenda ni finyu au umekuzwa familia ya kijinga inayokumbatia umaskini
Ujinga ni hali kama ulio nayo tusi ni neno linalokarahisha na kushusha utu wako. Sishangai ww kukosa nafasi maana ni mjinga na huelewi mifumo inavyokwendaBila matusi huwezi ukatoa hoja ukaeleweka?? Sasa ujinga umetoka wapi? Mjinga ni wewe au TRA ambao wameweka mchujo? Ina maana taasisi imefanya ujinga kuweka mchujo wa kujua nani anafaa kuwa mshindani au sio. So kumpima mtu mshindani unamuangalia usoni? Basi wangewachukua waliopata 36 badala ya wenye 90.
Kama huwezi kujibu hoja bila matusi tafadhali hapa sio mahala pake.
kaka taasisi nyingi mno hamna haki ,,,,ukisema uwe serious sana utatandika makofi watu wengi sanaHii idara haitakua na haki. Wapigaji wako busy kuingiza watu wao. Inasikitisha serikali halipi hili kibaumbele
Si wataita kwenye relevant qualifications
Kwanza unajua nimesoma kozi gani? Kwahiyo hata udaktari wakitangaza kozi nikaombe kwakuwa sio lazima kufanya kazi TRA. Kwahiyo kama TRA wakitangaza nafasi nisiombe kwasababu sio lazima kufanya kazi TRA. Kwahiyo umekaa hapo unaamini tangu najitambua sehemu pekee nnayoomba kazi ni TRA tu? Huoni kama hao ndo wanatangaza nafasi nyingi kuliko taasisi zingine.Alaf sio lazima ufanye kazi TRA ili maisha yaende. Wapo watu kibao wanapambana mtaani huyo wa tra mwemyewe haoni upepo. Jipange sana asee fikra zako huenda ni finyu au umekuzwa familia ya kijinga inayokumbatia umaskini
you are very polite person,i like that Mtu anaewasilisha mada kwa kejeli huwa anaongozwa na hisia sana kuliko factsFamilia ya kijinga ni ile inayozaa mtoto asiye jua ustaarabu anashinda kuita wengine wajinga mitandaoni. Kakae chini na baba yako na mama yako aliekuzaa akufundishe adabu na jinsi ya kuwasilisha hoja bila matusi. Hakuna wakubwa kwenu?
Mimi hata sijajisumbua kuomba hyo tra mara 100% ya utumishi walikuwa na mapungufu yao lakini nafuu hukoKama unakibarua mtoa mada kakope ufanye biashara yako usiende tena mahali kama huko ulikoenda bila refa utakwama
Kigezo cha kuchaguliwa kwenye nafasi ya kazi siyo interview ya kuandika tu. Wanatumia vigezo vingi. Ni combination of factors.Asante kwa kuchangia lakini nimesema huu ni ‘mfano’ wa matokeo. Pdf ipo ina majina ya watu wengi tu ambao wameandikiwa hivyo. Ina maana mtu mwenye marks 50 ana uwezo mkubwa kuliko kwenye 91? Sio kwamba ni hao watatu tu. Ni watu wengi sana. Na wengine walizuiwa siku ya usaili kabisa waliambiwa wasiingie kwenye chumba cha mtihani kwakuwa wana irrelevant qualifications.
Kwanini haki isitendeke tu
Ehh kwahyo kama ana ujinga anaitwa nani. Ni mjinga tuKubali umekosea mkuu huwezi kumuita mtu mjinga .
Nikibishana na wewe ntaongeza idadi ya chama chako hicho unachokiongoza cha hao unaoshinda kuwaita mitandaoni. Rudi nyumbani kwa wazazi wakupe ABC za maisha na heshima ni kitu cha bure. Elimu ni mkombozi sio tu ili tupate kazi ila itupe utashi wa kujua ya kusema na yepi ya kuyaacha. Ukimaliza kutukana sali kwa Mungu akupe kizazi kisicho fanana na weweUjinga ni hali kama ulio nayo tusi ni neno linalokarahisha na kushusha utu wako. Sishangai ww kukosa nafasi maana ni mjinga na huelewi mifumo inavyokwenda
Hongera kwa wewe ulieletwa kukejeli wengine. Mungu aliekupa wewe kazi na mabilioni aliona unafaa kuzipata na kutukana nazo wengine. Acha sisi wengine tumkumbushe akuongezee ili zizidi kukupa jeuri na kebehi.Haya tiharahei wanatangaza nafasi 300 na hupati hata moja kwa ujinga uliouvundika kwenye fuvu. Emdelea kujitolea tu wengine mmeletwa duniani mteseke muishi kinyonge na mtegemee kazi za kunynyekea mtu
Barikiwa mkuu neno la farajaIla usema ukweli,ukikosa TRA hata usijilaumu Wala usitafute kuwa ulikosea wapi,unaweza pata passmark ya oral bila kujua kuwa wenye kazi wapo tayari,unatoka mwanxa kuja dar alafu unaambulia patupu,kaza buti endelea kupambana
Mtu wa masters hawezi kuwa na irrelevant qualifications anafall kweny overqualified kwa sabab ni moja wanashauri mtu aende sawa na tangazo na vigezo vyake.Mkuu ipo hivi, Mfano hizo kazi za Custom kuna mtu ana Masters lakini ukute Anatakiwa mtu wa Bachelor, au ana Bachelor Lakini kaomba kazi ya Diploma...
Mfumo ukamchagua , System ilikosea ikamchagua.... Au jamaa Kaweka Vyeti vya Degree ...ila kwenye barua kajichanganya akaandika ana masters sasa baada ya usahihishaji na kupanga matokeo wakajiridhisha...kwann asiandikiwe ana irrelevant Qualification??
Leo nenda kwenye Taasisi yoyote , wametangaza kazi za Diploma, alafu wewe uwe na Master ..but kwenye system ume upload Diploma vizuri tu.
Siku ya oral mpo wawili mwenzako ana Diploma, wewe una Diploma na masters umeingia kwenye Panel ukajichanga wakati wa kujielezea Ulataja na masters yako, wakakudadis vizuri ukajaa....
Wewe kwa Akili yako kisoda ,unafikir hapo hata ukipata 100 watakuchukua? Wakamuacha mwenye qualification??