Mkuu ipo hivi, Mfano hizo kazi za Custom kuna mtu ana Masters lakini ukute Anatakiwa mtu wa Bachelor, au ana Bachelor Lakini kaomba kazi ya Diploma...
Mfumo ukamchagua , System ilikosea ikamchagua.... Au jamaa Kaweka Vyeti vya Degree ...ila kwenye barua kajichanganya akaandika ana masters sasa baada ya usahihishaji na kupanga matokeo wakajiridhisha...kwann asiandikiwe ana irrelevant Qualification??
Leo nenda kwenye Taasisi yoyote , wametangaza kazi za Diploma, alafu wewe uwe na Master ..but kwenye system ume upload Diploma vizuri tu.
Siku ya oral mpo wawili mwenzako ana Diploma, wewe una Diploma na masters umeingia kwenye Panel ukajichanga wakati wa kujielezea Ulataja na masters yako, wakakudadis vizuri ukajaa....
Wewe kwa Akili yako kisoda ,unafikir hapo hata ukipata 100 watakuchukua? Wakamuacha mwenye qualification??