Interview za TRA hazijatenda haki

Interview za TRA hazijatenda haki

Kwahiyo umeambiwa irrelevant kisha interview irudiwe na wewe na irrelevant yako uende tena ili matokeo yakitoka uambiwe tena irrelevant sasa hiyo interview itarudiwa mara ngapi Mkuu.

Cha msingi jipange kwa wakati mwingine.
Si wataita kwenye relevant qualifications
 
Hapa ndipo ninapokuona mjinga kwamba ww unaangalia marks au sio. Kibaya sisi kama TIHARAHEI tunatafuta watu washindani nyie mnaojidai mnajua kukariri sana tunawatema maana hamna akili. Alafu watoto wa mabosi zetu watafanya kazi wapi au unataka mabosi zetu watuachishe kazi madogo waje wafanye kazi
Bila matusi huwezi ukatoa hoja ukaeleweka?? Sasa ujinga umetoka wapi? Mjinga ni wewe au TRA ambao wameweka mchujo? Ina maana taasisi imefanya ujinga kuweka mchujo wa kujua nani anafaa kuwa mshindani au sio. So kumpima mtu mshindani unamuangalia usoni? Basi wangewachukua waliopata 36 badala ya wenye 90.

Kama huwezi kujibu hoja bila matusi tafadhali hapa sio mahala pake.
 
Alaf sio lazima ufanye kazi TRA ili maisha yaende. Wapo watu kibao wanapambana mtaani huyo wa tra mwemyewe haoni upepo. Jipange sana asee fikra zako huenda ni finyu au umekuzwa familia ya kijinga inayokumbatia umaskini
Familia ya kijinga ni ile inayozaa mtoto asiye jua ustaarabu anashinda kuita wengine wajinga mitandaoni. Kakae chini na baba yako na mama yako aliekuzaa akufundishe adabu na jinsi ya kuwasilisha hoja bila matusi. Hakuna wakubwa kwenu?
 
Ujinga ni hali kama ulio nayo tusi ni neno linalokarahisha na kushusha utu wako. Sishangai ww kukosa nafasi maana ni mjinga na huelewi mifumo inavyokwenda
 
Hii idara haitakua na haki. Wapigaji wako busy kuingiza watu wao. Inasikitisha serikali halipi hili kibaumbele
kaka taasisi nyingi mno hamna haki ,,,,ukisema uwe serious sana utatandika makofi watu wengi sana
kuna muda huwa nikienda mahali kutaka huduma nakuta mtoa huduma yupo busy na mambo yake NATAMANI NIMTANDIKE VIBOKO 7 VYA MATAKONI
 
Alaf sio lazima ufanye kazi TRA ili maisha yaende. Wapo watu kibao wanapambana mtaani huyo wa tra mwemyewe haoni upepo. Jipange sana asee fikra zako huenda ni finyu au umekuzwa familia ya kijinga inayokumbatia umaskini
Kwanza unajua nimesoma kozi gani? Kwahiyo hata udaktari wakitangaza kozi nikaombe kwakuwa sio lazima kufanya kazi TRA. Kwahiyo kama TRA wakitangaza nafasi nisiombe kwasababu sio lazima kufanya kazi TRA. Kwahiyo umekaa hapo unaamini tangu najitambua sehemu pekee nnayoomba kazi ni TRA tu? Huoni kama hao ndo wanatangaza nafasi nyingi kuliko taasisi zingine.

Taasisi zingine wanatangaza nafasi 2 wanaita watu 300 na zaidi una uhakika hapo Hakuna connection.

Mda mwengine kama huna cha kuchangia nyamaza
 
Familia ya kijinga ni ile inayozaa mtoto asiye jua ustaarabu anashinda kuita wengine wajinga mitandaoni. Kakae chini na baba yako na mama yako aliekuzaa akufundishe adabu na jinsi ya kuwasilisha hoja bila matusi. Hakuna wakubwa kwenu?
you are very polite person,i like that Mtu anaewasilisha mada kwa kejeli huwa anaongozwa na hisia sana kuliko facts
 
Asante kwa kuchangia lakini nimesema huu ni ‘mfano’ wa matokeo. Pdf ipo ina majina ya watu wengi tu ambao wameandikiwa hivyo. Ina maana mtu mwenye marks 50 ana uwezo mkubwa kuliko kwenye 91? Sio kwamba ni hao watatu tu. Ni watu wengi sana. Na wengine walizuiwa siku ya usaili kabisa waliambiwa wasiingie kwenye chumba cha mtihani kwakuwa wana irrelevant qualifications.

Kwanini haki isitendeke tu
Kigezo cha kuchaguliwa kwenye nafasi ya kazi siyo interview ya kuandika tu. Wanatumia vigezo vingi. Ni combination of factors.
 
Haya tiharahei wanatangaza nafasi 300 na hupati hata moja kwa ujinga uliouvundika kwenye fuvu. Emdelea kujitolea tu wengine mmeletwa duniani mteseke muishi kinyonge na mtegemee kazi za kunynyekea mtu
 
Ujinga ni hali kama ulio nayo tusi ni neno linalokarahisha na kushusha utu wako. Sishangai ww kukosa nafasi maana ni mjinga na huelewi mifumo inavyokwenda
Nikibishana na wewe ntaongeza idadi ya chama chako hicho unachokiongoza cha hao unaoshinda kuwaita mitandaoni. Rudi nyumbani kwa wazazi wakupe ABC za maisha na heshima ni kitu cha bure. Elimu ni mkombozi sio tu ili tupate kazi ila itupe utashi wa kujua ya kusema na yepi ya kuyaacha. Ukimaliza kutukana sali kwa Mungu akupe kizazi kisicho fanana na wewe
 
Ila usema ukweli,ukikosa TRA hata usijilaumu Wala usitafute kuwa ulikosea wapi,unaweza pata passmark ya oral bila kujua kuwa wenye kazi wapo tayari,unatoka mwanxa kuja dar alafu unaambulia patupu,kaza buti endelea kupambana
 
Haya tiharahei wanatangaza nafasi 300 na hupati hata moja kwa ujinga uliouvundika kwenye fuvu. Emdelea kujitolea tu wengine mmeletwa duniani mteseke muishi kinyonge na mtegemee kazi za kunynyekea mtu
Hongera kwa wewe ulieletwa kukejeli wengine. Mungu aliekupa wewe kazi na mabilioni aliona unafaa kuzipata na kutukana nazo wengine. Acha sisi wengine tumkumbushe akuongezee ili zizidi kukupa jeuri na kebehi.
 
"Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota"..

Mkuu pamoja na kuwa na kibarua ila bado una victim mentality. Unachokisema kina ukweli ila usipende kujitilisha huruma "kimaskini" kwa sababu in reality, nobody cares
 
Mkuu ipo hivi, Mfano hizo kazi za Custom kuna mtu ana Masters lakini ukute Anatakiwa mtu wa Bachelor, au ana Bachelor Lakini kaomba kazi ya Diploma...

Mfumo ukamchagua , System ilikosea ikamchagua.... Au jamaa Kaweka Vyeti vya Degree ...ila kwenye barua kajichanganya akaandika ana masters sasa baada ya usahihishaji na kupanga matokeo wakajiridhisha...kwann asiandikiwe ana irrelevant Qualification??

Leo nenda kwenye Taasisi yoyote , wametangaza kazi za Diploma, alafu wewe uwe na Master ..but kwenye system ume upload Diploma vizuri tu.

Siku ya oral mpo wawili mwenzako ana Diploma, wewe una Diploma na masters umeingia kwenye Panel ukajichanga wakati wa kujielezea Ulataja na masters yako, wakakudadis vizuri ukajaa....

Wewe kwa Akili yako kisoda ,unafikir hapo hata ukipata 100 watakuchukua? Wakamuacha mwenye qualification??
Mtu wa masters hawezi kuwa na irrelevant qualifications anafall kweny overqualified kwa sabab ni moja wanashauri mtu aende sawa na tangazo na vigezo vyake.

Basi mtu wa Masters anaweza kuajiriwa kabisa sema itatumika degree hata katika malipo. Atalipwa mshahara wa degree ila kuajiriwa inawezekana kabisa na ataanza level ya degree kama kaomba officer grade II.
 
Back
Top Bottom