Interview za TRA hazijatenda haki

Nilichokuja kugundua humu ndani kuna watu ni wajuaji sana. Yani wao kila kitu wanataka waonekane wanajua. Wanataka kugeuza hii mada kama ni cross examination kwenye court session. Nadhani taasisi husika imeshajua ilipokosea na ndo nlichokua na fight kwamba mchakato ukawe wa haki.

Kama wengine mnaona mchakato hauluwa na shida then stay out of this thread acha wasio na sauti wasemewe.
 
Kumbe walifanya jambo jema kukuchuja, kuwa na staff ambaye yupo desperate namna hii ni tatizo kabisa, there is always next time stop being grouchy.
I think you’re being irrational, arrogant and dumb by refusing to see the whole context unaenda kutafuta vicomment ambavyo havina kichwa wala miguu.
Mada yangu kule juu kabisa nimeweka hadi ushahidi. Si unge stick na hiyo mada na utumie akili kufikiri kuliko kutumia kisigino. Come slow ama tukimbizane. Sitaki kashfa.
Next time when you shove your nose in some other irrelevant business make sure there’s no deep shit in it.
 
Inawezekana kabisa ka

Unaulizwa technical questions unakwepa kujibu jibu Kwa uwazi tu bila kuonyesha wewe ni nani

Unapokua unakwepa kujibu maswali malalamiko Yako yanapoteza maana
Andiko langu la kwanza kabisa kule juu mbona lipo clear sana maana nimeweka hadi picha. Wenye taasisi yao wameelewa nlichokua naongelea. Mnapoanza kunihoji mimi haisaidii unless kama useme wewe ni staff unataka unihoji ili haki itendeke. Otherwise chukueni taarifa ifanyieni kazi mengine yaendelee hatupo kwenye mdahalo mkuu.
 
Hii sio haki, poleni sana
 

Denial Kaka, you will get well over a time. Utumishi wametangaza vacancy ongeza received huko hii ni past tayari. Walio karibu na wewe wakuangalie vizuri usije kujitundika.
 
Kama wee Ni mtumishi wa tra hutokah Sanaa [emoji1787]
 
Denial Kaka, you will get well over a time. Utumishi wametangaza vacancy ongeza received huko hii ni past tayari. Walio karibu na wewe wakuangalie vizuri usije kujitundika.
Ungekua umepitia uzi mzima ungejua hata nimesoma kozi gani. You’re sticking your nose in deep shit that you have no idea. I already told you this
 
Ungekua umepitia uzi mzima ungejua hata nimesoma kozi gani. You’re sticking your nose in deep shit that you have no idea. I already told you this
Najali afya yako ya akili, angalia tuu usije ishia kwenye suicide kijana learn to let things go, and plan for the next opportunity ahead. Hauwezi kushindana na nature imeamua hivyo kwako.
 

Hawezi kosea kuacha namba maana pale kulikuwa na sheet na ulikuwa lazima usign , sasa kama wewe umefanya na unauhakika uli sign kwann usiende makao makuu pale ukalalamike thn wasikusikilize? Mimi nimekaa na wabongo wengi i swear degree nyingi watu weupe...tena mnoo.... Ndio matokeo yake haya
 
Kwahiyo umeambiwa irrelevant kisha interview irudiwe na wewe na irrelevant yako uende tena ili matokeo yakitoka uambiwe tena irrelevant sasa hiyo interview itarudiwa mara ngapi Mkuu.

Cha msingi jipange kwa wakati mwingine.
Mimi nikajua unasema hao wenye irrelevant wachukuliwe....kumbe irudiwe yote duuuh.... Sasa Sheikh unajua zinatumika pesa ngapi kuita interview kisa irrelevant za watu hawazidi hata 100?? 🤣...mkuu kama una degree basi shule haijakusaidia kitu
 
Soma bandiko lake nimemquote jamaa yako.
 
Mimi nikajua unasema hao wenye irrelevant wachukuliwe....kumbe irudiwe yote duuuh.... Sasa Sheikh unajua zinatumika pesa ngapi kuita interview kisa irrelevant za watu hawazidi hata 100?? 🤣...mkuu kama una degree basi shule haijakusaidia kitu
Ila uchaguzi mnang’ang’aniaga urudiwe! Kwakuwa unafanyika bure si ndio? Hakunaga gharama. Shule inaweza isikusaidie kwenye mambo mengine ila ikakupa upofu.

Mnapoona kwamba hamjatendewa haki ndo mnapayuka ila ikiwa kwenye issue ambazo hazikugusi wewe unajifinya kalio au sio
 
Jamaa anajizima Data 🤣🤣,
 
Ndugu inaonekana uliweka matumaini makubwa mnoo kwenye hizi post.(wenzako hatufanyi hivyo)Alafu kusoma chuo cha kodi haina maana waliosoma vyuo vyengine unawazidi academically kwenye hio kodi na pia haina maana lazima uajiriwe TRA relax.

Hii ndio maana ya interview Kuna watakaopita na watakaodondoka, ukidondoka unasimama tena unaendelea na mapambano ndivyo tufanyavyo wenzako.

Ngoja nijaribu kukujibu japo najua unaweza usinielewe maana inaonekana una hasira.

Kwanza elewa TRA hawawezi kukutema tu hata kama wanataka kukuonea bila kukutaftia sababu(tukipata chance nyingine tusiwape sababu).Watu kama watatu waliotemwa na nawajua na wamepata marks za kuitwa, wote wamesoma Banking finance ambao hawa hawajasoma kabisa tax kipindi chote cha masomo!!!na wote kwenye kujaza ile form wakati wa maombi waliandika wamesoma finance wakaishia hapo na ndio maana system ikawapitisha.

Lakini siku ya paper ya written wasimamizi wakati wanawakagua vyeti wakaona ni banking finance wakawaletea noma maana hawa watu hawajasoma tax,lakini wakawaruhusu wakafanya Pepa nadhani kwa ajili ya kufatilia zaidi maana waliambiwa waandike majina yao pembeni.

Sasa mtu hajasoma tax kabisa na kaongopea mfumo umemuita na pepa akafanya fresh unamuita aje afanye nini?? Unadhani kama wangekua na nia ya kuwatema kwa kuwaonea si wasingemundikia 90% wangemwandikia tu 32% wakaachana nae.!!!!kuandika exactly marks tu hapa inaonyesha jinsi gani waliosahihisha na wasimamizi wa mchakato mzima wako makini na fair.

Kama unaona umeonewa na hakuna sababu ya kuonewa, nenda kwenye office zao kawasilishe hayo malalamiko direct mda bado upo, hata utumishi huwa wanakosea na watu wanaenda na wanatoa majina ya nyongeza,kulia lia hapa HAITAKUSAIDIA CHOCHOTE.

Nadhani tulioshindwa kupita kwa next stage tujifunze kuheshimu waliofaulu zaidi yetu na kubwa zaidi tujifunze wakati wa Mungu ni wakati sahihi zaidi.
 
Acha kupiga kwenye mshono. 😂😂
 
Yaani mtu kusoma chuo cha kodi basi unahisi ni lazima uajiriwe TIHARAHEI aloo unajidanganya au ulidata na yale matangazo ya ajira zipo TRA ukimaliza😂😂😂 namjua mtoto wa boss mmoja hajasoma banking finance wala tax na yupo kitengo TIHARAHEI ww endelea kukomaa kujieleza sjui umesoma sjui umefanyaje bongo sio sehem ya kusoma upate ajira. Soma ujue kupambania maisha yako
 
Hongera kwa wewe ulieletwa kukejeli wengine. Mungu aliekupa wewe kazi na mabilioni aliona unafaa kuzipata na kutukana nazo wengine. Acha sisi wengine tumkumbushe akuongezee ili zizidi kukupa jeuri na kebehi.
Unaona ulivyo na akili finyu asee mabilioni yamekujaje hapa😂😂😂 relax hapo umekosa kazi TRA unawaka hivyo je ukijakujua kwamba hata ulichosoma hakina msaada na ww utafanyaje?

Sikukebehi ila nakuambia ukweli tatizo nyie mliosoma mnaojiona mna hizo digirii ukweli kwenu ni tusi mnataka mpambwe na uongo uongo usio na maana ndio maana wengi wenu mnakua machawa maanna ndio kitu mnaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…