Interview za TRA hazijatenda haki

Hongera kwa wewe ulieletwa kukejeli wengine. Mungu aliekupa wewe kazi na mabilioni aliona unafaa kuzipata na kutukana nazo wengine. Acha sisi wengine tumkumbushe akuongezee ili zizidi kukupa jeuri na kebehi.
Unaona ulivyo na akili finyu asee mabilioni yamekujaje hapa😂😂😂 relax hapo umekosa kazi TRA unawaka hivyo je ukijakujua kwamba hata ulichosoma hakina msaada na ww utafanyaje?

Sikukebehi ila nakuambia ukweli tatizo nyie mliosoma mnaojiona mna hizo digirii ukweli kwenu ni tusi mnataka mpambwe na uongo uongo usio na maana ndio maana wengi wenu mnakua machawa maanna ndio kitu mnaweza.
 
Awe mtumishi atambe🤣 kwani wanatakaga mtu ana kiherehere hivi🤣 si atawashwa kwenye hiko kiti kwanza sijui kama kasoma hata 92 jerrie kitulize basi
😂😂😂 Sijasoma ila sina malalamiko kama ww alafu utumishi ni utumwa yaani unapambania uwe mtumwa 😂😂😂. Ww uliesoma ndio kwanza jua linakuwakia una haha hujui ushike wapi pole sana dogo janja
 
Yaani ndo maana vijana mnapigwa sana mabao ya mikono. Mnaacha kuangalia tatizo lilipo mna deal na mtu. Humu kuna fake ID’s.
Issue ilikua lazima iletwe ifanyiwe kazi. Somebody had to say it. Unadhani hili tatizo litajitokeza tena huko mbeleni? Tatizo form four leavers mna hasira sana. Hujui hata akieandika ni nani. Unaparamia tu. Em kakojoe ulale
 
Nilichosoma kinawezaje kutokua na msaada na mimi? Hivi msiosoma mkitukanwa kumbe huwa mnastahili. Sasa kumbe huna elimu utajuaje uchungu wa wanaopambania kufanya kazi ya walichokisomea?
 
Nilichosoma kinawezaje kutokua na msaada na mimi? Hivi msiosoma mkitukanwa kumbe huwa mnastahili. Sasa kumbe huna elimu utajuaje uchungu wa wanaopambania kufanya kazi ya walichokisomea?
Sasa kama hapo ulipo umesoma na bado nafasi hujapata unajitolea mpaka leo wakati wapo wenye alimu ya chini kwako na wanaajira zinawasaidia. Au uliulizwa leo hapo ulipo elimu ikichukuliwa unabaki na nn au elimu yako imekunufaisha vipi. Kiufupi kwa malalamiko yako Mungu akusaidie uajiriwe maana naweza jinyonga sisi ambao hatujasoma tuje tukuzike tule pilau kama familia yako itapika
 
Wangapi hawajasoma na wapo utumishi tena possition nzuri tu. Au ulitarajia na mimi ntakuuliza. UNAJUA NIMESOMA KOZI GANI😂😂😂😂 jipange
Ila we unajipa moyo🤣🤣🤣kwahiyo upo utumishi, hujasoma ila unakaza fuvu kujilinganisha. Scale yako inalingana na wenye degree au sio🤣 basi fresh ngoja nikupishe mzee siwezi kubishana na bamia mimi zinaharibikia ukubwani
 
Nani kasema yupo utumishi dogo unachanganyikiwa nn yaani Mungubkaniumba ili niwe mtumwa dah si atanishangaa. Alafu hayo ma degree sio kitu dogo. Jipange kifikra sana usije baadae ukajua umeajiriwa sehemu ps analamba 1m ww unasotea 540k. Hao wenye degree zitawasaidia kama watakua huru kimawazo ila ww na elimu yako nadiriki kusema bado haina msaada kwako maana hujui nn ufanye zaidi ya kuajiriwa TRA ambapo unalia lia uhurumiwe😂😂
Ila we unajipa moyo🤣🤣🤣kwahiyo upo utumishi, hujasoma ila unakaza fuvu kujilinganisha. Scale yako inalingana na wenye degree au sio🤣 basi fresh ngoja nikupishe mzee siwezi kubishana na bamia mimi zinaharibikia ukubwani
 
Waibukie huko huko kwny oral
 
All in all mleta mada unafanya kitu kikubwa sana. Ni lazima mamlaka ziweze kuonyeshwa pande zote mbili za shilingi. Wakati wengine wanafanya uzalendo kwa kusifia, wengine inabidi wakosoe ili kuibua maeneo yanayohitaji maboresho.

Napata ukakasi kwenye kurudiwa interview nikiwawaza watoto wa masikini ambao tayari wameitwa Oral, lakini nitapata nguvu zaidi hasa kwa wale walioonekana kudhulumiwa au kuweza kupata nafasi ya kusikilizwa na kujibiwa hoja zao, likifanyika hilo. Mwisho wa siku, kupitia hii thread mamlaka itajirekebisha, pengine haya mapungufu ya safari hii hatutayaona huko mbeleni.
 
NINGEKUWA NNA UWEZO WA KUFUNGA HII THREAD NA HII IKAWA NDO MAIN POINT KULE JUU NINGEFANYA.

Wewe ndo umeelewa dhamira yangu kuu. Wewe ndo umejua nini nilikua nafanya. Mamlaka zitajirekebisha kwasababu hili tayari ni doa kubwa sana.

Asante mkuu na uzi uishie kwa huyu kiongozi alie comment hapa👏🏼
Ukabarikiwe na chochote unachofanya mkuu.
 
Lazima muwakumbuke PSRS hakika
 
Tatizo ni kwamba huko tayari kulikuwa na watoto wa wakubwa waliopewa nafasi ya "kujitolea" na "interna". Hawa hawawezi kabisa ushindani ulioko PSRS. Wakubwa wakalazimisha TRA waajiri wenyewe bila kupitia PSRS, lengo ni kupata urahisi wa kupitisha watoto wa wakubwa!! Ila huko nako kulipotangazwa tu (maana sharti nafasi zitangazwe) wapambanaji wakajitosa!! Kwanza figisu ilianzia kwenye kuitwa kwenye usaili! Wengi waliachwa japo wana sifa nzuri tu lkwa mujibu wa sifa zilizoainishwa kwenye tangazo la ajira. Pili waliofanikiwa kuitwa na wakatishia nafasi za watoto wa wakubwa ndo wakafanyiwa faulo mbalimbali mojawapo ndo hiyo unayoisema!! Ndugu yangu ndo imetoka hiyo!! Mungu atakusaidia mbele ya safari!!

Ndo maana NSSF wao wakaamua kuwachinjia baharini wapambanaji wa ajira wakatangaza nafasi zigombewe na watu walio ndani ya NSSF tu yaani hao interns, wenye mikataba mifupi mifupi na wajitoleaji!! Watu walilalamika lakini hakuna aliyesikiliza kilio hicho!! Unajua kwa nini? Mtu anayepaswa kusikiliza kilio hicho ndo huyo ana mtoto wake/jamaa yake/ndugu yake huko NSSF anayeandaliwa mazingira ya kubebwa!! Ndo maana nimesema ndo imetoka hiyo!!
 
Unfairnesa ya ajira za TRA ni ya ajabu. Kigezo kipi kimetumika kuchukuwa watu wenye marks 70 za juu dhidi ya marks 70 za chini zenye nyekundu. In general Kama maombi yetu yanaweza kumfukia raisi wetu Mama Samia tunamuomba sana arudushe mchakato huu PSRS ili kuwezesha watu stahiki kuweza kupata nafasi za ajira kwenye taasisi mbalimbali za serikali kwa usawa
 

Attachments

  • markup_1000144597 (1).jpg
    268.2 KB · Views: 9
Daah kumbe complaints zinaenda deep
Hivi. Af bafo kuna chawa wanataka kutuharibia muelekeo. Mama samia hii
Interview ni doa kwako ulieruhusu huu mchakato uhame. Vijana hatukuelewi kabisa
 
Dahh hapa wameua aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…