92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Unaona ulivyo na akili finyu asee mabilioni yamekujaje hapa😂😂😂 relax hapo umekosa kazi TRA unawaka hivyo je ukijakujua kwamba hata ulichosoma hakina msaada na ww utafanyaje?Hongera kwa wewe ulieletwa kukejeli wengine. Mungu aliekupa wewe kazi na mabilioni aliona unafaa kuzipata na kutukana nazo wengine. Acha sisi wengine tumkumbushe akuongezee ili zizidi kukupa jeuri na kebehi.
Sikukebehi ila nakuambia ukweli tatizo nyie mliosoma mnaojiona mna hizo digirii ukweli kwenu ni tusi mnataka mpambwe na uongo uongo usio na maana ndio maana wengi wenu mnakua machawa maanna ndio kitu mnaweza.