mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mama, it's a known fact.....I worked there briefly na ninajuwa wayafanyayo.Unao ushahidi? Njia ya kufanikiwa ni kudondoka na kunyanyuka kisha kujifunza ili siku nyingine ufanye marekebisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama, it's a known fact.....I worked there briefly na ninajuwa wayafanyayo.Unao ushahidi? Njia ya kufanikiwa ni kudondoka na kunyanyuka kisha kujifunza ili siku nyingine ufanye marekebisho.
Mimi nimefanya mtihani wa TRA na ndugu yangu mmoja,aliambiwa atoe 3m ndo afanyiwe mpango,Sasa imagine 3m hata jina halijatoka unadhani masihara hiyo hela utaitoa wapi km wewe km Mimi tuBarikiwa mkuu neno la faraja
In reality.. it hurts. Kwasababu wanatuambia kabisa mi dad wangu yuko huko so either way ntapita tu. Kongole kwao ila tusio na dads huko nani anatusemea. So tusiseme kwasababu it sounds like a victim mentality? Isn’t it a reality thou? It being worthy of being an issue or not is not my case to solve but the truth has to be spoken"Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota"..
Mkuu pamoja na kuwa na kibarua ila bado una victim mentality. Unachokisema kina ukweli ila usipende kujitilisha huruma "kimaskini" kwa sababu in reality, nobody cares
I'm telling you this as a person who passed through a lot of shi*t kutengeneza hata vissibility niliyonayo sasa kwa watu. Hakuna aliyejali maumivu au mental damage niliyoipata. That's how the world operatesIn reality.. it hurts. Kwasababu wanatuambia kabisa mi dad wangu yuko huko so either way ntapita tu. Kongole kwao ila tusio na dads huko nani anatusemea. So tusiseme kwasababu it sounds like a victim mentality? Isn’t it a reality thou? It being worthy of being an issue or not is not my case to solve but the truth has to be spoken
Nimekuelewa ila tujikite kwenye mada husika mkuu. Sasa wivu ntamuoneaje mtu ambae siwezi kua nae sawa. I wasn’t asking for sympathy natetea haki. Ndo maana sijaonba kuonewa huruma nimeomba haki itendeke.I'm telling you this as a person who passed through a lot of shi*t kutengeneza hata vissibility niliyonayo sasa kwa watu. Hakuna aliyejali maumivu au mental damage niliyoipata. That's how the world operates
Kama unaona wivu kwa hao watu, make sure wewe unakuwa the next "Dad" Na kama unataka haki. Unaweza kuidai pasipo kujidogosha ili kupata public approval or sympathy.
Sawa endelea kuita watu wajinga kila mtu na malezi aliyolelewa alipotokaEhh kwahyo kama ana ujinga anaitwa nani. Ni mjinga tu
Acha mkwara pasua paper wewe pata 100% then uwekewe sifuri tuone.Hili la TRA ni Moja ya matatizo makubwa kwenye mfumo wa ajira yanayopuuzwa.
Tumuombe Rais Samia arudishie michakato ya ajira sekretarieti ya ajira, bila hivyo mengine yatakuwa simulizi ya kutisha sana mbeleni
Hii slogan ya watoto wa maskini ni ya kipuuzi sana kaza msuli mtoto wa maskini ndiye anayetakiwa kupasua kweli kweli."Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota"..
Mkuu pamoja na kuwa na kibarua ila bado una victim mentality. Unachokisema kina ukweli ila usipende kujitilisha huruma "kimaskini" kwa sababu in reality, nobody cares
Sana mkuu 🙏🏽Hii slogan ya watoto wa maskini ni ya kipuuzi sana kaza msuli mtoto wa maskini ndiye anayetakiwa kupasua kweli kweli.
ingekuwa halmashauri usingeomba irudiweHabari wakuu.
Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.
Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua kwamba una irrelevant qualifications?
Mtu unakopa pesa ili uweze kufika mkoa ambao umeitwa kwenda kufanya Interview maana interview inakukuta kwenye vibarua vya watu unapambana kujitolea alafu unafika unapambana kusoma usiku na mchana unajiandaa vizuri unaingia kwenye mtihani unafanya vizuri unafaulu kwa marks za juu kabisa alafu unakuja kuambiwa umefaulu lakini hujachaguliwa kwakua una irrelevant qualifications? Kwanini mliita mtu in the first place?
INTERVIEW IRUDIWE ILI HAKI IWEPO. MCHAKATO MZIMA WA
INTERVIEW URUDIWE, WATANGAZE UPYA ILI WATU WAOMBE UPYA NA WENYE QUALIFICATIONS HUSIKA WAOMBE NA MUWACHAGUE KWA HAKI NA USAWA. WAHANGA NI WENGI SANA NA INAUMIZA.
NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.
Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota.
Nimeambatanisha na mfano wa uonevu huo uliotendeka.
Na TRA mlipotaka kufanyisha interview nyinyi wenyewe hiki ndo mlitaka kufanya? Haki itendeke mchakato urudiwe
Umesoma ulichoandika hapa?? Unaweza muajiri mtu wa Phd kwenye office yako,?, Ila umemuajiri kwa qualification yake ya ordinary diploma? Basi utakuwa zuzuMtu wa masters hawezi kuwa na irrelevant qualifications anafall kweny overqualified kwa sabab ni moja wanashauri mtu aende sawa na tangazo na vigezo vyake.
Basi mtu wa Masters anaweza kuajiriwa kabisa sema itatumika degree hata katika malipo. Atalipwa mshahara wa degree ila kuajiriwa inawezekana kabisa na ataanza level ya degree kama kaomba officer grade II.
Inawezekana kabisa kama degree ....sasa kama kaapply kwa kutumia cheti cha chini!?Umesoma ulichoandika hapa?? Unaweza muajiri mtu wa Phd kwenye office yako,?, Ila umemuajiri kwa qualification yake ya ordinary diploma? Basi utakuwa zuzu
Mkuu, qualification si ni kuwa na sifa za chini zilizotangazwa? Huyu mwenye masters kama ana diploma na ameombea kazi kwa diploma bado anakua na qualification, na hata angeombea kwa cheti cha masters kama inahusiana na kazi hiyo, bado anastahili kupata kazi hiyo.Mkuu ipo hivi, Mfano hizo kazi za Custom kuna mtu ana Masters lakini ukute Anatakiwa mtu wa Bachelor, au ana Bachelor Lakini kaomba kazi ya Diploma...
Mfumo ukamchagua , System ilikosea ikamchagua.... Au jamaa Kaweka Vyeti vya Degree ...ila kwenye barua kajichanganya akaandika ana masters sasa baada ya usahihishaji na kupanga matokeo wakajiridhisha...kwann asiandikiwe ana irrelevant Qualification??
Leo nenda kwenye Taasisi yoyote , wametangaza kazi za Diploma, alafu wewe uwe na Master ..but kwenye system ume upload Diploma vizuri tu.
Siku ya oral mpo wawili mwenzako ana Diploma, wewe una Diploma na masters umeingia kwenye Panel ukajichanga wakati wa kujielezea Ulataja na masters yako, wakakudadis vizuri ukajaa....
Wewe kwa Akili yako kisoda ,unafikir hapo hata ukipata 100 watakuchukua? Wakamuacha mwenye qualification??
Mkuu, hapa wewe ndio unaonekana zuzu. Kwa nini usimuajiri ilhali ameomba kazi kwa kufuata tangazo lako na ametimiza vigezo vya chini vilivyopo kwenye tangazo lako la ajira? Qualification ni kuwa na vigezo au sifa za chini za kazi inayotakiwa, kuwa na zaidi sio tatizo ila kuwa chini ya sifa ya chini iliyotanganzwa, ndio tatizoUmesoma ulichoandika hapa?? Unaweza muajiri mtu wa Phd kwenye office yako,?, Ila umemuajiri kwa qualification yake ya ordinary diploma? Basi utakuwa zuzu
Mkuu naona unaitamani sana TRA 😊😊😊mkuu nikwambie kitu Bora uwe TRA wa MAISHA yako......Habari wakuu.
Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.
Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua kwamba una irrelevant qualifications?
Mtu unakopa pesa ili uweze kufika mkoa ambao umeitwa kwenda kufanya Interview maana interview inakukuta kwenye vibarua vya watu unapambana kujitolea alafu unafika unapambana kusoma usiku na mchana unajiandaa vizuri unaingia kwenye mtihani unafanya vizuri unafaulu kwa marks za juu kabisa alafu unakuja kuambiwa umefaulu lakini hujachaguliwa kwakua una irrelevant qualifications? Kwanini mliita mtu in the first place?
INTERVIEW IRUDIWE ILI HAKI IWEPO. MCHAKATO MZIMA WA
INTERVIEW URUDIWE, WATANGAZE UPYA ILI WATU WAOMBE UPYA NA WENYE QUALIFICATIONS HUSIKA WAOMBE NA MUWACHAGUE KWA HAKI NA USAWA. WAHANGA NI WENGI SANA NA INAUMIZA.
NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.
Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota.
Nimeambatanisha na mfano wa uonevu huo uliotendeka.
Na TRA mlipotaka kufanyisha interview nyinyi wenyewe hiki ndo mlitaka kufanya? Haki itendeke mchakato urudiwe
Ingawa sheria zetu za kazi zinasema ili mtu ashtaki chini ya sheria za kazi ni lazima kuwe na uhusiano wa mwajiri-mwajiriwa,Habari wakuu.
Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za kuendelea na mchakato wa kufanya oral interview.
Ina maana hadi wanakuita uje ufanye interview hawakujua kwamba una irrelevant qualifications?
Mtu unakopa pesa ili uweze kufika mkoa ambao umeitwa kwenda kufanya Interview maana interview inakukuta kwenye vibarua vya watu unapambana kujitolea alafu unafika unapambana kusoma usiku na mchana unajiandaa vizuri unaingia kwenye mtihani unafanya vizuri unafaulu kwa marks za juu kabisa alafu unakuja kuambiwa umefaulu lakini hujachaguliwa kwakua una irrelevant qualifications? Kwanini mliita mtu in the first place?
INTERVIEW IRUDIWE ILI HAKI IWEPO. MCHAKATO MZIMA WA
INTERVIEW URUDIWE, WATANGAZE UPYA ILI WATU WAOMBE UPYA NA WENYE QUALIFICATIONS HUSIKA WAOMBE NA MUWACHAGUE KWA HAKI NA USAWA. WAHANGA NI WENGI SANA NA INAUMIZA.
NAOMBA TRA WARUDIE MCHAKATO WA INTERVIEW ILI WALIOKOSESHWA KWENDA KWENYE ORAL KWA KIGEZO CHA IRRELEVANT QUALIFICATIONS HATA KAMA WANA MARKS KUBWA NAO WAITWE WAFANYE TENA INTERVIEW.
Haki itendeke watoto wa maskini tunaendelea kusota.
Nimeambatanisha na mfano wa uonevu huo uliotendeka.
Na TRA mlipotaka kufanyisha interview nyinyi wenyewe hiki ndo mlitaka kufanya? Haki itendeke mchakato urudiwe
Mama mzazi aliwai nambia hii kauli niliona kama siku zinachelewa sanaa.....hapo madogo form four failure na marafik wa mdogo angu walikua wanakuja home kwetu na ndinga zao Kali....nikawa Ile state ya kupoteza Kila kitu ulicho kipambania maishani...ukiwa hauna watu,mambo mengi utayaona magumu,,,,
Kazana sana katika sala wakati wako wa kufanikisha ukifika ndio utaelewa
Na hili ndiyo jibu sahihi, kabisaSanasana, mwajiri unaweza kutompa nafasi mtu huyo kwa mtazamo wa kuwa hatafanya kazi kwa kuridhika na kwa ufanisi kwa sababu mshahara atakaoupata ni chini ya kiwango cha elimu yake
naaam mkuu ahsante sana kwa maneno ya kutia moyo kiasi hiki,,,,,Mama mzazi aliwai nambia hii kauli niliona kama siku zinachelewa sanaa.....hapo madogo form four failure na marafik wa mdogo angu walikua wanakuja home kwetu na ndinga zao Kali....nikawa Ile state ya kupoteza Kila kitu ulicho kipambania maishani...
Nilisoma kitabu Cha zaburi Kuna sura 150 Kwa miezi mi tatu asubh na jion na kutafakari sanaaa Bado sikufanikiwa chochote.... Muda wa MUNGU ni sahihi nilisha sahau yotee wasife moyo vijana...
Umemaliza na wakiulizwa kuhusu hilo wanakana kwamba sio kweliAcha kulalamika, hizo nafasi huwa zinakuwa na watu tayari ni formalities tu wanatimiza kuita watu interview. Pole sana.