Ummu Maryam
Senior Member
- Nov 28, 2017
- 108
- 66
Kweli kabisa roho mbaya za wabongo dhidi ya diamond ndo zinamuweka hapo alipo ila Ali ni bure kabisa hakuahawishi hata kidogo uendelee kumsikilizaNaunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke
Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo
Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
yeaahh"ndio hivyo mkuu""mimi mbona nawapnda wote tu Hawa Jamaa"" hata hapa nilipo nasikiliza haleluya muda huu''. ila kinachonivutia zaidi kwa Kiba ninamna ambavyo anavyo yaendesha maisha yake "" kwakweli huwa naona kuwa anakajiustaarabu fulani ambacho "" ningumu mnoo kwa mtu ambaye nimsanii kuweza kuwa nachoAhahaaaah...
Uko sahihi Kiongozi..!
Mh jina lako mwisho lina kiba??mbona utetezi mkubwa ivi mkuu??Sasa wewe habari za nyumba yake zinakuhusu nini....mwisho wa siku utataka kujua anamgegeda wife wake mara ngapi kwa wiki...hakuna haja ya mapovu nyie endeleeni kushabikia hao wenye mikogo ya ki star alikiba tutamshabikia sisi tusiopenda mikogo ya ki star tunaopenda mziki mzuri...mziki unaoweza kukaa na babu bibi na mama sebuleni mkaangalia video yake...nyie endeleeni kushabikia video za hao wanaochezea matako ya dada zenu hadharani...hao wanaorecord porn na kuzirusha kwenye mitandao alafu anatokea mtu kama wewe anasema hiyo ni mikogo ya ki star
Kwa hiyo kwakuwa amekuja leo tena unazani unahaki ya kumuuliza maswali ya ndani kabisa.alikuja kuhojiwa kuhusu mziki wake..sasa we nijibu ni swali gani aliloulizwa kuhusu mziki wake hakulijibu???Kama alikuwa hataki kuhojiwa mambo yake binafsi mkewe alimpeleka LeoTena kufanya nini? Shilawadu alienda kufanya nini?
Neno la Kiingereza analojua ni POP INSio majivuno ya kishamba.
Ally ana limited exposure kwenye mambo mengi ukijumlisha na shule ndogo unaona kabisa tatizo alilonalo.
Mtu anaweza kua na shule ndogo ila akawa na expisure kubwa kama Diamond, lazima atabadilika na uwezo wake wa kuelewa mambo utapanuka. Hata waswahili husema kuzaliwa mjini ni sawa na kusoma form six, sio kwamba mjini kuna elimu ya bure, hapana, exposure inayotokana na mazingira ya mjini sio sawa na bush.
Ally ni mswahili na hataki uswahili umuache, hakuna tofauti kati ya Ally na Hamorapa, wote wana majina makubwa ila limited exposure.
Sio kwamba Ally anaringa, hapana, ni ushamba ukijumlishwa na uelewa mdogo wa mambo kuhusiana na hadhi yake.
Ushamba ni mzigo.
[emoji28] [emoji28] katoto tenaaa?[emoji23][emoji23]itafute mkuu ,kale katoto kalimbukeni sana ndio maana kame-stuck kimuziki sehemu moja miaka nenda rudi hasogei.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Bora interview za dj sepetu[emoji23]
Hahaahaaa....Acha kutetea ujinga,
Alikiba ni mshamba,hana mikogo ya 'kistar' na ukumbuke hii mikogo ya kistar ndio inafanya wenzake wanang'aa.
Kwanza kujieleza hajui,na ni msanii anayejiona mkubwa mno tofauti na uhalisia.
Kwamfano nimeona anaulizwa hivi, "nimesikia mkeo ndio kaifungua nyumba yako mpya na sasa mnaishi huko" yeye anajibu, "umesikia,sijasema" huu sio ushamba?
Sio haibu ni aibuKibamia ni haibu sana
Hiyo lugha ilikuja na meliNeno la Kiingereza analojua ni POP IN
Hapo chaacha...!!!![emoji28] [emoji28] katoto tenaaa?