Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke

Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo

Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
Kweli kabisa roho mbaya za wabongo dhidi ya diamond ndo zinamuweka hapo alipo ila Ali ni bure kabisa hakuahawishi hata kidogo uendelee kumsikiliza
 
Ahahaaaah...
Uko sahihi Kiongozi..!
yeaahh"ndio hivyo mkuu""mimi mbona nawapnda wote tu Hawa Jamaa"" hata hapa nilipo nasikiliza haleluya muda huu''. ila kinachonivutia zaidi kwa Kiba ninamna ambavyo anavyo yaendesha maisha yake "" kwakweli huwa naona kuwa anakajiustaarabu fulani ambacho "" ningumu mnoo kwa mtu ambaye nimsanii kuweza kuwa nacho
 
Sasa wewe habari za nyumba yake zinakuhusu nini....mwisho wa siku utataka kujua anamgegeda wife wake mara ngapi kwa wiki...hakuna haja ya mapovu nyie endeleeni kushabikia hao wenye mikogo ya ki star alikiba tutamshabikia sisi tusiopenda mikogo ya ki star tunaopenda mziki mzuri...mziki unaoweza kukaa na babu bibi na mama sebuleni mkaangalia video yake...nyie endeleeni kushabikia video za hao wanaochezea matako ya dada zenu hadharani...hao wanaorecord porn na kuzirusha kwenye mitandao alafu anatokea mtu kama wewe anasema hiyo ni mikogo ya ki star
Mh jina lako mwisho lina kiba??mbona utetezi mkubwa ivi mkuu??
 
Huyu Alikiba anaonekana ni mtu ambae kwa hapo alipofikia hapendi kujifunza kabisa vitu vipya na ana pride mbaya sana
 
Tatizo la wabongo tunapenda kujua jirani kala nini ili tumfananishe.

Safi sana ali kiba. Kinachokuweka juu, ni huko kutoweka kila kitu wazi. Kila mtu anabaki kuongea lake huku akitafuta ukweli ni upi
 
Mimi binafsi navutiwa sana na Interviews za Dogo Janja.. ni msanii mdogo ila ukimsikiliza mwenyewe utamkubali.. anajihamini, anaongea kwa mpangilio, anajitambua, anapambanua mambo vizuri na zaidi ya yote anafurahisha kwa utani..

Menejimenti zinaowasimamia wasanii inabidi ziwekeze kuwafunza wasanii wao namna yakufanya majadiliano..
 
kubwa zaid kashasema hasomi comment za popote[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kama alikuwa hataki kuhojiwa mambo yake binafsi mkewe alimpeleka LeoTena kufanya nini? Shilawadu alienda kufanya nini?
Kwa hiyo kwakuwa amekuja leo tena unazani unahaki ya kumuuliza maswali ya ndani kabisa.alikuja kuhojiwa kuhusu mziki wake..sasa we nijibu ni swali gani aliloulizwa kuhusu mziki wake hakulijibu???
 
Hahaahaa....

Ndio wasanii Clouds iliyoamua kufanya nao kazi hao..

Wenye akili wote washa achana nao.

Huku kiba
...kule Dimposs .

Hahaa...
 
Sio majivuno ya kishamba.

Ally ana limited exposure kwenye mambo mengi ukijumlisha na shule ndogo unaona kabisa tatizo alilonalo.

Mtu anaweza kua na shule ndogo ila akawa na expisure kubwa kama Diamond, lazima atabadilika na uwezo wake wa kuelewa mambo utapanuka. Hata waswahili husema kuzaliwa mjini ni sawa na kusoma form six, sio kwamba mjini kuna elimu ya bure, hapana, exposure inayotokana na mazingira ya mjini sio sawa na bush.

Ally ni mswahili na hataki uswahili umuache, hakuna tofauti kati ya Ally na Hamorapa, wote wana majina makubwa ila limited exposure.

Sio kwamba Ally anaringa, hapana, ni ushamba ukijumlishwa na uelewa mdogo wa mambo kuhusiana na hadhi yake.

Ushamba ni mzigo.
Neno la Kiingereza analojua ni POP IN
 
Ulimbukeni bado unamsumbua,akikua ataacha,,msimshangae sana,haya mambo ya interview hajayazoea..
 
Acha kutetea ujinga,

Alikiba ni mshamba,hana mikogo ya 'kistar' na ukumbuke hii mikogo ya kistar ndio inafanya wenzake wanang'aa.

Kwanza kujieleza hajui,na ni msanii anayejiona mkubwa mno tofauti na uhalisia.

Kwamfano nimeona anaulizwa hivi, "nimesikia mkeo ndio kaifungua nyumba yako mpya na sasa mnaishi huko" yeye anajibu, "umesikia,sijasema" huu sio ushamba?
Hahaahaaa....

Inasikitisha....
 
Back
Top Bottom