Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
Labda, ila exchange ninavojua lazima upigwe tu.Depends na muuzaji bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda, ila exchange ninavojua lazima upigwe tu.Depends na muuzaji bana.
😅😅 mwanamke ukimuona ana kitu kizuri kuliko kipato chake usimuulize.. piga kimyaa kuepusha maneno maneno na shari..
Sasa si mzilete huko bongo mbona wachoyo hivyo, si tutazinunua hata kwa laki 5Hizo simu zimepigwa marufuku hapa France ,kuanzia iPhone12 ,wameamuru zitolewe madukani na marufuku kuuzwa,nyie vamieni tu kila kilicho ingia mjini.
Unavunga tu mkuu😂😆😅😅 mwanamke ukimuona ana kitu kizuri kuliko kipato chake usimuulize.. piga kimyaa kuepusha maneno maneno na shari..
Ukitoka Aru, ukija make sure unanicheki. Ukute iPhone 16 used zipo tayariMakumbusho kuna popcorn tu 😂
Sijui nitakumbuka, maana nataka simu mwezi ujao nadhani nitamjaribukuna jamaa mmoja humu Jf .. amekuwa akiniuzia simu, naona yupo fair sana.. hana janja janja.. sijawai topup.. ila naonga sio janja janjaa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kuna yale mafuta ya nazi nyoka anateleza pangoni kimasihara
sawa kila la heri ila ukikosa njoo tutumie zangu.Sawa Bwana Ice...
Wacha nitafute hela kwa bidii🤣
Kuna yale mafuta ya nazi nyoka anateleza pangoni kimasihara
Yupo wapi huyo jamaa na anaitwa nani?Sijui nitakumbuka, maana nataka simu mwezi ujao nadhani nitamjaribu
Ngoja bishoo National Anthem amtagYupo wapi huyo jamaa na anaitwa nani?
Mbela95FiosoMtag nifanye naye biashara simu yangu kama nimeichoka hivi🤣😂
Ukishao unatoka kwenye kundi la ubishooo.. unachakwazwaa.. mawazo yanabadirika kabisa... ndani hapajakaa sawa alafu jioni urudi na simu ya 3.8 million.. hiyo misonyoo yake sio mchezo.. 😅😅😅Ngoja bishoo National Anthem amtag
Sawa😁Ngoja bishoo National Anthem amtag
😁😁😁Ukishao unatoka kwenye kundi la ubishooo.. unachakwazwaa.. mawazo yanabadirika kabisa... ndani hapajakaa sawa alafu jioni urudi na simu ya 3.8 million.. hiyo misonyoo yake sio mchezo.. 😅😅😅
Jamaa anaitwa Mbela95Fioso
Sema jf kapotea kama
namba zake zipo activeSema jf kapotea kamaView attachment 2747718
Nigusie Dm mkuu.namba zake zipo active