iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...


ukishajua maana ya iyo app apo Cydia ndo uje upya na hoja zako za kishamba. Watu tunao jailbreak iphone zetu tuna options zaidi ya millioni ya kutumia simu zetu kufanya chochote kitu ambacho android haziwezi
 
Mtu unaanzaje kuhangaika na miwaya waya mgongoni kwenye shingo[emoji28]. Earphone jack ni kitu kimepitwa na wakati kuna wireless airpods. Acha washamba wabaki na wanazunguka na miwawaya kwenye masimu yao ya kishamba.
Kwa iphone wanachojali ni kupiga faida tu katika bidhaa wanazouza, wanachotaka wateja yeye hajalin ma hapa niseme ukweli kawakamua kweli kweli.

Ni strategy ya sokoni kwamba airpods zao zile wireless ili ziuzike wakaona inabidi watoe tundu la earphone, Airpods ni laki 2 huko na kweli kakamua kweli bila huruma.

Huku android wateja tunajaliwa hakuna udikteta, simu naipata ina tundu la earphone, mimi ndio nraamua kama nilotumie au nitumie earphone za wireeless, mteja nakuwa mfalme
 
Kwani kiongozi Simba fc ni sawa na ndanda fc. Juu itabaki kua juu tu na ndio maana ata bei hazilingani, kumbuka iPhone ni mtu wa kutoa HIGHEND DEVICES TU, HAKUNA UTOPOLO.
Sijamaanisha unachofikiria,,,,,,,,,,,
 

Ndo umegundua kumbe kuwa na v8 lazima uwe hela ya mafuta leo[emoji23]. Siyo lazima ununue airpods za apple za laki mbili. Binafsi nna wireless aipods za bose nilinunua 30k tu na zina base balaa. Mambo ya kubeba eaphone za miwaya siku mbili upande moja hautoi sauti kisa waya imezingua unanunua zingine ni ushamba kwangu .
 
Vitu vingi ni online na wakati huohuo charge nusu saa inakat!!! Hilo ni gereza, njoo Samsung ufurahie maisha.
 
View attachment 1531843ukishajua maana ya iyo app apo Cydia ndo uje upya na hoja zako za kishamba. Watu tunao jailbreak iphone zetu tuna options zaidi ya millioni ya kutumia simu zetu kufanya chochote kitu ambacho android haziwezi
Mtumiaji wa apple yupo kwenye gereza (jail) vitu vya kawaida kabisa ambavyo huku android unaweza kuvufanya ukinunua simu huko i phone haiwezekani kwasababu ni jela.

Sasa huko iphone vitu kama kuweka default app, kuweka app ambazo hazijasainiwa na apple, kubadili mwandiko na customizations nyingi inabidi ufanyr jail break, yani kuifanya simu iwe huru kama android ambayo ipo huru tangu ubapoinunua..

Kwa kifupi huku android hatuna jela, unatumia simu unavyotaka.

Na kuhusu rooting ya android inakufanya uchukue control ya sytem nzima unaweza kubadili kabisa hata operating system ukatia yako, Apple jailbreak yake inakutoa tu nje ya jela simu iweze kuwa huru kama android ila sio kufika hadi kwenye mzizi wa system.

Karibu dunia ya uhuru, naona saizi unatamba unaweza hata ku customize 😁😁😁 Huku android hata mtoto ana customize bila kuweka ma cydia hayo
 
Mkuu kuna airpods tayari zinazotengenezwa na apple kwajili ya simu zake

ni laki 2 tu

Tumeoma unamiliki dstv mkuu 😁😁

Agiza airpods ni laki 2 tu, nilishaonya pointu ya kwanza hizi simu inabidi uwe vizuri kiuchumu, Au ndo unafosi mkuu 😁😁
 
Mkuu hizi umenunua wapi???? Nahitaji na mimi
 

Nikaribie wapi? Mimi namiliki samsung na apple hakuna kitu kinaboa kama iyo mitangazo ya pop ups kwenye android yaani matakataka kibao. Alafu kazi ya ku reset android kila mara inapoanza kuwa slow ni upuuzi unaonichosha. Yaani android ni kama shamba la bibi matakataka kibao. Iphone huwezi kuona imekuwa slow kisa virus. Kitu ukigusa kinafunguka apo apo siyo kama android mara lime stuck kila kitu kimekwama. Na hapa natumia simu ina ram gb6 sema ma android inashambuliwa na matalataka mengi sana kwa vile ni open source.
 

Ninazo pia airpods za apple origiinal. Nimekuonesha kuwa uache woga zipo pia za bei nafuu kama izo nilizokuonesha. Eti dstv[emoji23] kwani unanichukulia poa?
 
iphone ni za wambea wambea si unaona unavyotuma vi mdoli sehemu ambayo haihitajiki.
 
Rikiboy unatak kuzitumia kimasihara eeeh

Ziko bomba sana mimi ninazo mwaka sasa zina mziki mnene hatari. Alafu ni za uhakika siyo kama miwaya miwaya ile wenye android wanatutushia kisa hatuna matundu ya earphone. Hizi hazina waya kukatika mara sikio moja halitoi sauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…