Mkuu kuna airpods tayari zinazotengenezwa na apple kwajili ya simu zake
ni laki 2 tu
Tumeoma unamiliki dstv mkuu [emoji16][emoji16]
Agiza airpods ni laki 2 tu, nilishaonya pointu ya kwanza hizi simu inabidi uwe vizuri kiuchumu, Au ndo unafosi mkuu [emoji16][emoji16]
Ni kweli ila mie nami Android sihami na matoleo ya kisasa ya Android 3.5 mm headphone jack haipo kabisaZiko bomba sana mimi ninazo mwaka sasa zina mziki mnene hatari. Alafu ni za uhakika siyo kama miwaya miwaya ile wenye android wanatutushia kisa hatuna matundu ya earphone. Hizi hazina waya kukatika mara sikio moja halitoi sauti.
Hii ndo simu yangu miaka 100Kitu Huawei banah hutajuta na majuto yote hayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kununua za laki mbil no wayRikiboy unatak kuzitumia kimasihara eeeh
Ni kweli ila mie nami Android sihami na matoleo ya kisasa ya Android 3.5 mm headphone jack haipo kabisa
Kwani eyephone ukiacha Camera ambayo ni kifaa cha kina dada zaidi KUNA NINI CHA MAANA!??
Hakuna iPhone ambayo haina tundu la Earphone hata iPhone 11 inayo Sema tu ni kwamba wamebadilisha kuanzia iPhone 6 kushuka chini zinatumia earphone pin ya kawaida ya 2.8mmyeye anayo ambayo ina tundu la ear phone, i phone zenye matundu ya earphone zilishaacha kutengenezwa kitambo sana. Yawezekana mwenzetu anatumia i phone 5 ya mwaka 2014 [emoji16][emoji16][emoji16] wenzake wanaingia i phone 12 hivi karibuni.
Tatizo wewe ni mshamba wa android, kuna app kama adguard zinatoa matangazo, hayo matangazo siyaonagi sana ila wenzangu wanaocheki x yanawasumbua kama hawana adblock 😁😁Nikaribie wapi? Mimi namiliki samsung na apple hakuna kitu kinaboa kama iyo mitangazo ya pop ups kwenye android yaani matakataka kibao. Alafu kazi ya ku reset android kila mara inapoanza kuwa slow ni upuuzi unaonichosha. Yaani android ni kama shamba la bibi matakataka kibao. Iphone huwezi kuona imekuwa slow kisa virus. Kitu ukigusa kinafunguka apo apo siyo kama android mara lime stuck kila kitu kimekwama. Na hapa natumia simu ina ram gb6 sema ma android inashambuliwa na matalataka mengi sana kwa vile ni open source.
Hakuna iPhone ambayo haina tundu la Earphone hata iPhone 11 inayo Sema tu ni kwamba wamebadilisha kuanzia iPhone 6 kushuka chini zinatumia earphone pin ya kawaida ya 2.8mm
Ila kuanzia IPhone 7 na kuendelea wameona wapunguze idadi ya matundu kwenye simu.
Kwa hiyo tundu la charge ndio hilo hilo la earphone ...na ukinunua kwenye box unakuta earphone humo zinazofit tundu husika.
Kwa hyo suala la kusema IPhone hazina tundu la earphone ni uongo.
Tatizo wewe ni mshamba wa android, kuna app kama adguard zinatoa matangazo, hayo matangazo siyaonagi sana ila wenzangu wanaocheki x yanawasumbua kama hawana adblock [emoji16][emoji16]
Acha kamba wewe
Android naweza kuchaji simu na kutumia earphone kwa mpigo bila madubu wassha ya ziada, adapter zilishapitwa na wakati.Hakuna iPhone ambayo haina tundu la Earphone hata iPhone 11 inayo Sema tu ni kwamba wamebadilisha kuanzia iPhone 6 kushuka chini zinatumia earphone pin ya kawaida ya 2.8mm
Ila kuanzia IPhone 7 na kuendelea wameona wapunguze idadi ya matundu kwenye simu.
Kwa hiyo tundu la charge ndio hilo hilo la earphone ...na ukinunua kwenye box unakuta earphone humo zinazofit tundu husika.
Kwa hyo suala la kusema IPhone hazina tundu la earphone ni uongo.
Android naweza kuchaji simu na kutumia earphone kwa mpigo bila madubu wassha ya ziada, adapter zilishapitwa na wakati.
huku i phone huwezi kutumia earphone bila adapter maana kuna tundu moja tu
mfano hii adapter ya earphone kwa iphone huwezi kutumia ear phone na kuchaji simu kwa wakati moja.
View attachment 1531927
kuepukana na kero hii pamoja na kuhiyaji vifaa vya ziada karibu android
Mkuu umekunywa chai ??? hata airpods za laki 4 tu zimekushindwa umekimbilia amabazo sio za apple za elf 30 kariakoo.Sasa iyo adblock yenyewe sasa ndo inakuletea mi add kibao hadi usumbufu yaani tatizo android makanjanja kibao
Hizo earphone ulinunua wapi mkuu na mimi nahitajiNdo umegundua kumbe kuwa na v8 lazima uwe hela ya mafuta leo[emoji23]. Siyo lazima ununue airpods za apple za laki mbili. Binafsi nna wireless aipods za bose nilinunua 30k tu na zina base balaa. Mambo ya kubeba eaphone za miwaya siku mbili upande moja hautoi sauti kisa waya imezingua unanunua zingine ni ushamba kwangu .View attachment 1531853View attachment 1531854
Hizo earphone ulinunua wapi mkuu na mimi nahitaji