Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Basi Bora ni dili na Android tu..Iphone six achana nayo picha linaanza uwezo wa betri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Bora ni dili na Android tu..Iphone six achana nayo picha linaanza uwezo wa betri
Mmiliki wa cloud ni nani? Upige zako picha halafu mweingine akakutunzie? Na ili uzi access ukanunue bando kwanza.Lengo ni kumantain performance ya simu kwa sababu memo stick nyingi zina reading an writing speed ndogo tena ukikutana fake ndo kabisa na zinaifanya simu inakuw slow. Ndiyo maana siku hizi unapewa gb kuanzia 64 kama internal memory bado una option ya kuhifadhi vitu kwenye icloud au drop box maana internet inaamia kwenye cloud sasa. Mtu akisema kuwa kuhifadhi vitu kwenye cloud ni gharama itakuwa kituko ununue simu ya million mbili uone kuhifadhi vitu kwenye cloud ni gharama, ni sawa na wale wanaolalamika V8 inakunywa sana wese wanataka inywe kama altezza
ni apple mwenyewe na amekupa storage ya bure, dunia inahamia huko ata adobe naye na watengeneza software wengi wanahamia kwenye cloud, juzi windows katoa os inafanana kama chrome nayo ina work based on cloud, siyo jambo la kuepukika tunaelekea huko ndiyo maana hata google documents imeshika kasi now.Mmiliki wa cloud ni nani? Upige zako picha halafu mweingine akakutunzie? Na ili uzi access ukanunue bando kwanza.
Naona tu watu wanavyohangaika nazo hukuAisee nilijua niko peke yangu! Mimi bora nitumie hata itel kuliko iphone!
Nimechoka kampuni ya Samsung aseee..
Kati ya Infinix na Vivo ipi bora.?
Naona tu watu wanavyohangaika nazo huku
Hela hawana,mabando shida,mambo ga notes na mambo mengine ni kasheshe.
Ni show off tu hakuna lolote.Yaani wanajitutumua tu ila hakuna kitu! Mimi sijawahi kuzielewa iphone kwa kweli!
£918Huawei no..sipendi zilivyo.
iPhone na huawei ndio dimu sizipendi ajili ya muonekano wake...
Samsung nimeitumia toka naanza kutumia smartphone nishaichoka sasa kampuni hii. Nimetumia Grand prime,s4,s5,76 A10
Duuh.. haraka haraka hapo nakuja kama 1.8m
Lengo ni kumantain performance ya simu kwa sababu memo stick nyingi zina reading an writing speed ndogo tena ukikutana fake ndo kabisa na zinaifanya simu inakuw slow. Ndiyo maana siku hizi unapewa gb kuanzia 64 kama internal memory bado una option ya kuhifadhi vitu kwenye icloud au drop box maana internet inaamia kwenye cloud sasa. Mtu akisema kuwa kuhifadhi vitu kwenye cloud ni gharama itakuwa kituko ununue simu ya million mbili uone kuhifadhi vitu kwenye cloud ni gharama, ni sawa na wale wanaolalamika V8 inakunywa sana wese wanataka inywe kama altezza
Nadhani hii point ya memory card inahitaji uafafanuzi zaidi.Mmiliki wa cloud ni nani? Upige zako picha halafu mweingine akakutunzie? Na ili uzi access ukanunue bando kwanza.
Haifui dafu kwenye nini??I phone hata hii mpya iphone 11 por max haifui dafu kwa simu zaandroid kama Xiaomi Mi Note 10 Pro, one plus 8 , n.k.
You sound childish.Povu la omo hili [emoji16][emoji16]
Umekuja kutetea iphone wakati hata huna, Au ili tu uonekane una uchungu nayo watu wajue unayo[emoji16][emoji16]
Wenye i phone wamekaa kimya.
Hakuna kisicho dukuliwa hata simu bila icloud bado inadukuliwa, na icloud storage as far as i remmeber imedukuliw mara moja nadhani ilikuw 2016. Lakini ndiyo maana kila mara tunapokea updates na patches kuimarisha system.Nadhani hii point ya memory card inahitaji uafafanuzi zaidi.
Mempry card unaweza kufanya back up kwenye sehemu ambazo hazina internet, Android inaweza kufanya back ups kwenye mitandao inayotunza data kama inavyoweza iphone lakini i phone haiwezi ku back up kwa memory card.
Pia cloud storage si ya kuaminika sana, kuna kipindi i cloud ilidukuliwa picha za uchi za mastaa zilivuja na hili shambulio linaweza kutokea tena
Wame replace na large internal memory . Wanaamini hawahitaj memory card.Iphones bado hazina SD card support mpaka leo?
Android gani hiyo ya siku hizi unayoweza kufungua na kutoa battery??Hahah [emoji16][emoji16][emoji16] You just admitted it.
Hizo i phone kwa hapa tz umeme ukikatika siku nzima naonaga watu wenye nazo wanaanza kutembea na mi power bank utadhani ni pochi ,[emoji16][emoji16]
Huku android hata kukiwa na umeme unaowaka usiku tu naweza kuchaji simu nikaitumia hadi kesho yake tena,
Hizo simu inabidi utupie mbali ukienda vijijini, binafai hata nikienda kijijini kwa wiki naweza kwenda na battery za ziada nilizochajia mjini maisha yakaendelea.
Mtu anahangaika na kuhamisha miziki wakati siku hizi watu wana stream apple music au spotify.Dunia inahamia online sasa hivi get ready, hata windows katoa OS iko kama Chrome OS bila internet haifanyi kazi, OS kama adobe suits zinahamia kwenye cloud, siyo hiyo tu hata OS nyingine. Kila kitu kinahamia online huenda huko mbeleni hata tv nyingi zitakuwa kama Netflix lazima upige bundle. Ni mabadiriko tu haina jinsi unless unataka kuishi kwenye wakati uliopita na kumbuka,
If you live in the past, the future will never find you.
And by the way kustream radio hakuli bundle kubwa sana unaweza istream hata kwa lisaa isle hata mb 100