Ipi bora kati iPhone na Android? Toa sababu zenye nguvu

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
NB: Ukichangia Toa Sababu Strong usiende na Upepeo lengo ni kujua kwanini tunatumia Simu zetu na kipi cha kujifunza ambacho hukijui

Android ni Program endeshi(OS) inayotumika kwenye Brand nyingi za simu kama Samsung, Xiami, Infinix, Tecno, Redmi n.k
Hii OS ya android inawapa watumiaji customisation, flexibility, and affordability.

Watumiaji wengi wa iPhone hununua ili waonekane kuwa wameweza nunua, wanaweza Afford na kwaajili ya Show Off. lakini Pia iOS inasifika kwa Security Features na Muonekano mzuri.
Lakini watumiaji wake wengi hawajui kwanini wanatumia zaidi ya show off

Nikiwa Mchangiaji wa Kwanza na Nikianza kuchangia Kuhusu Andoid
-Customisation
Android inakubali kupokea Launcher nyingi kama Galax(samsung), HiOS(Infinix,Tecno), XSL(Xiami) na hizi Launcher zinampa mtumiaji uhuru wa kubadili muonekano na mpangilio wa Screen yake vile anavyotaka

-Security
Andoid 14+ zina New Security Features ambazo zina ngumu zaidi kuliko iPhone, Kama Kuzuia app kukusanya Data zako Binafsi na za Kifaa chako, Kuficha vitu vyenye usiri ili mtu asiweze kuvifikia, Mwizi akiiba simu yako kwa hii New Feature hatoweza kuizima SImu yako hata kwa kuilazimisha vipi na Hatowekza KuiFlash na hata wala Kubadili IMEI number na ikatokea akailazimisha basi hatoweza itumia bila kupata security Code yako

-Mambo mengi
Kama inavyojulikana kuwa simu yenye Camera Nzuri duniani ni Android ambayo ni Samsung S24 Ultra, ya pili ni S23 Ultra, na ya tatu ni iPhone 15 Pro Max. mambo mengi mengi kama Files Management/

Andoid inampangilio mzuri wa Filesm na document Tofauti na iOS haina Fila manager nzuri.
 
iPhone zimekaa kizee sana hawajui tu!
kuna kile kipindi internet ilizoroteshwa watu wa iPhone walikuwa wanatuona sisi wa Android kama mafreemason maana tulikuwa tunapeta na vipieni tu..😅
 
Android, sana Samsung latest models.
Sio tu Android alafu tecno🤣😅😅😅
 
Mkuu hapo umetupeleka chaka
Iphone inatumia kioo aina ya oled lakini android kama vile samsung galaxy zinatumia oled ambayo inrkua advanced na kupewa jina la AMOLED

AMOLED NI BETTER KULIKO OLED MKUU
Sizungumzii display ya ku google wewe shika iphone halafu shika android yoyote halafu rudi hapa tubishane
 
Ukishasema android ni simu zote.. yan Android OS ni hiyohiyo kwenye simu zote isipokuwa tu, kuna baadhi ya feature zinaongezwa na kampuni husika ya simu katika Launcher zao
Amesema zipi ni simu nzuri, hajasema ipi ni Operating system nzuri.
 
Nilianza na iPod nano,nikaja iPhone 3gs,4,4s,5 sijatumia,nikaja 5s, iPad 4, Hadi hapa tulipofikia,itoshe kusema iPhone zipo OVERPRICED...Thamani na ubora tofauti...angalau MacBooks Bei mlima but Zina ubora huo...
 
NB: Ukichangia Toa Sababu Strong usiende na Upepeo lengo ni kujua kwanini tunatumia Simu zetu na kipi cha kujifunza ambacho hukijui

Android ni Program endeshi(OS) inayotumika kwenye Brand nyingi za simu kama Samsung, Xiami, Infinix, Tecno, Redmi n.k
Hii OS ya android inawapa watumiaji customisation, flexibility, and affordability.

Watumiaji wengi wa iPhone hununua ili waonekane kuwa wameweza nunua, wanaweza Afford na kwaajili ya Show Off. lakini Pia iOS inasifika kwa Security Features na Muonekano mzuri.
Lakini watumiaji wake wengi hawajui kwanini wanatumia zaidi ya show off

Nikiwa Mchangiaji wa Kwanza na Nikianza kuchangia Kuhusu Andoid
-Customisation
Android inakubali kupokea Launcher nyingi kama Galax(samsung), HiOS(Infinix,Tecno), XSL(Xiami) na hizi Launcher zinampa mtumiaji uhuru wa kubadili muonekano na mpangilio wa Screen yake vile anavyotaka

-Security
Andoid 14+ zina New Security Features ambazo zina ngumu zaidi kuliko iPhone, Kama Kuzuia app kukusanya Data zako Binafsi na za Kifaa chako, Kuficha vitu vyenye usiri ili mtu asiweze kuvifikia, Mwizi akiiba simu yako kwa hii New Feature hatoweza kuizima SImu yako hata kwa kuilazimisha vipi na Hatowekza KuiFlash na hata wala Kubadili IMEI number na ikatokea akailazimisha basi hatoweza itumia bila kupata security Code yako

-Mambo mengi
Kama inavyojulikana kuwa simu yenye Camera Nzuri duniani ni Android ambayo ni Samsung S24 Ultra, ya pili ni S23 Ultra, na ya tatu ni iPhone 15 Pro Max. mambo mengi mengi kama Files Management/

Andoid inampangilio mzuri wa Filesm na document Tofauti na iOS haina Fila manager nzuri.
PIa mkuu ilitakiwa hoja
Sizungumzii display ya ku google wewe shika iphone halafu shika android yoyote halafu rudi hapa tubishane
Mi sijamaamisha ya kugoogle mkuu iphone nimetumia pia samsung natumia siongelei ushabiki

Amoled ni better kuliko oled

#Personal experience
📌nilishwahi kumiliki iphone X
📌nishawahi kumiliki iphone 11 plain
📌nishawahi kumiliki iphone 13 pro max
🔨nishawahi kutumia samsung S10 plain
🔨nishawahi kutumia samsung S20 plain 5g
🔨nishawah kutumia samsung s21 utra
🔨sasa natumia samsung Z flip 3 5g
Nimejaribu kufanya comparison Android ni bora zaidi ya iphone kwenye kioo(amoled) pia hata kwa performance na battery capacitance
 
Ukishasema android ni simu zote.. yan Android OS ni hiyohiyo kwenye simu zote isipokuwa tu, kuna baadhi ya feature zinaongezwa na kampuni husika ya simu katika Launcher zao
Ndio mkuu sahihi ukizungumzia android zipo nyingin sana

Pia ziko more advanced compared to iphone

Mfano android iko more developed than iphone
💥android tayari sas wanatumia kioo aina ya dynamic foldable amoled lakini iphone bado hawajafika huko mkuu
 
Back
Top Bottom