Ipi bora kati ya 'Kudeti' na Mwanamke Aliyezaa tayari au ambaye bado anajitafuta Kuzaa?

Ipi bora kati ya 'Kudeti' na Mwanamke Aliyezaa tayari au ambaye bado anajitafuta Kuzaa?

Nina harusi ya single maza moja alipata jamaa kanisani kwao huko ,inafanyika Mwaka mpya
Yaani huna mtoto halafu unaoa mwenye mtoto? Mkuu hata hao wenye watoto hawakubali vijana wao waoe wenye watoto.

Ndoa zenyewe changamoto nyingi, ukiingiza hii ya "mzazi mwenzake", conflicts hazitaisha🤣🤣
 
Hahahahaha,jamaa atakua kajipanga kwa changamoto zote , ila hapa naona presha za kanisa , maana alikua anamla mtu kawaida ila si unajua maneno ya wachungaji wa kilokole
 
Aliyezaa ni wa kazi gani?
Hata ikitokea mke wangu tumetengana/amekufa sioi aliyekwisha kuzaa never ever ogopa alotendwa!
 
idadi kubwa ya wanawake ipo kwa waliozaliwa mwaka 2000 had 2005 na wengi wao hawajazaa kwanin uhangaike na mizee
 
Back
Top Bottom