Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

Wewe Mwanao angepewa Urais pengine ungeenda mbali zaid

Mwacheni Mzee wa watu akili zimruke, Jpm angeamka vibaya si angelifyeka tu jina la mwanae
Tatizo mwinyi hatakiwi kuwa mshamba wa madaraka, yeye teyari ameshakuwa rais kwa hataki kuwa na kimuyemuye na mambo madogo.
 
Mzee Mwinyi ana umri wa miaka 95. Uliza madaktari wa binadamu wakudadavulie athari za umri kwenye ufahamu, kumbukumbu na uwezo wa kufikiri. Huyu mzee anastahili kuheshimiwa na kuchukuliwa jinsi alivyo kutokana pia na makamo yake.
Huko kwenu hakuna wazee?
Kama ni mzee anafuata nini kwenye majukwaa ya siasa hadi anaongea ujinga
 
Hata alipokuwa akiongoza alikuwa anaongoza kwa mawazo ya walio nyuma ya pazia. Nyerere alimuweka maana ilikuwa rahisi kwake kumuagiza afanye atakalo.
Ni kweli, alianza kumsikiliza mkewe Mama Sitti Mwinyi zaidi ya Mwalimu. Ndipo wakati ule ambapo Mwalimu alisema “Ikulu imegeuka Pango la wanyang’anyi”, Pia “Rais Mwinyi anamsikiza mkewe usiku ndipo anafanya maamuzi asubuhi”

Wakati Mrema alipokamata dhahabu ya mama Sitti pale Airport nk
 
Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.

Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.

Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.

Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.

Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Mzee Mwinyi aliwahi kupigwa kofi na mwanafunzi wa madarasa way back 2012.

Sasa naanza kuelewa yule dogo alikuwa sahihi kumtandika Kofi huyu mzee.
 
“Nchi yetu inaendeshwa kwa Katiba na lazima tuienzi, lakini twaweza tukitaka kuiahirisha kwa muda mfupi ili kumpa Rais Magufuli kipindi kingine kimoja cha Asante kisha baadaye tuendelee vilevile mpaka Dunia iishe, kwasababu kuna mengi aliyonayo na Nchi itayakosa” -MSTAAFU MWINYI
 
Sasa mtu anayeongea PUMBA kiasi hiki eti KATIBA IAHIRISHWE kwa kipindi kifupi anastahili kweli kupewa UBABA WA TAIFA? Mwalimu angekuwa hai asingeweza kuongea UJINGA kama huu kuhusiana na dikteta.

“Nchi yetu inaendeshwa kwa Katiba na lazima tuienzi, lakini twaweza tukitaka kuiahirisha kwa muda mfupi ili kumpa Rais Magufuli kipindi kingine kimoja cha Asante kisha baadaye tuendelee vilevile mpaka Dunia iishe, kwasababu kuna mengi aliyonayo na Nchi itayakosa” -MSTAAFU MWINYI
 
Wazee wapuuzi kama hao ni hasara kwa nchi binafsi mpaka sasa sijaona jipya lilifanywa na huyo wanaemtukuza ambalo wenzie hawakufanya! isipokuwa kuwa ninachojua nikwamba wanacccm wengi wanashangilia sababu anatumia mkono wa chuma kuzuia wapinzani wake kufanya siasa na hata wasio na uwezo wakujenga hoja huko nao wanataka uongozi wakiamini watapita sababu dola inawabeba lkn kwenye ulimwengu wa watu wasiotumia utumbo kufikiri huyo ndugu hana la maana lakuwazidi watawala wenzie
Huyu mzee ni bora hata asiwe anaongea hadharani.
 
Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.

Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.

Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.

Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.

Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!

Miaka yote hii Mwinyi amekua mbinafsi akiimba sifa ili mwanawe apitishwe na Tanganyika kuwa Rais wa Zanzibar’
Ashapata ugombea Sasa ni Bora apunguze
 
Mzee kachoka mwili mpaka akili anachoongea ni kama mtoto mdogo ambaye hajaanza shule
 
Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi.

Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi.

Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye anatazamwa kama kiongozi baba wa nchi aliyebakia akihimiza eti katiba iende likizo kwa muda ili jambo ambalo kimsingi hata halina maana lifanyike.

Ni aibu kubwa kumpa jukwaa huyu mzee kisha anaongea haya huku ikiaminiwa kuwa aliwahi kuwa Rais wa nchi tena chaguo la Mwalimu Nyerere. Ndiyo maana huwa nabakia kujiuliza sana uko wapi umakini wa baba wa taifa tunaoaminishwa kama tu alituletea mrithi wa hovyo kama mzee Mwinyi.

Ni katika utawala wake tuliwahi kuwa na naibu waziri mkuu asiyetambulika kikatiba. Hivyo sina wasiwasi kuwa anamaanisha ayasemayo. Huyu mzee ni heri asiwe anapewa kipaza sauti kuongea, aachwe apumzike na uzee wake!
Faida yake ni mwanaye anapendelewa kwa mambo mengi, lakini hata yeye anajua ukweli kwamba huyu jamaa hakuna la maana analofanya
 
Kila mtu anao uhuru wa kufikiri na kusema atakavyo. Iwe ni mgambo, mama ntilie au rais mstaafu. Kama maoni ya mtu yakikukera unatulia unapiga malimao unatulia. Katiba hurekebishwa na bunge hivyo anachosema Mwinyi ni maoni yake tu.
 
Sasa ndiyo aongee upoyoyo huku akijua influence yake kwa jamii?
 
Back
Top Bottom