We jamaaa unaakili sana . Na ndiyo alivyowazaKule IPU walimuweka kitimoto sanaaa Hadi akasema kwa vile ametoka Afrika Tanzania!? Sasa kwa namna media za nje zimereport uchaguzi wetu huu halafu yeye ndio awe spika wao ndio watamkaanga vizuri zaidi...so best way kupunguza tension na joto la nje ni apoteze hapa ili na kule atoke bila kuwekwa kitimoto.
Ni assumptions zangu tu, Sasa kama atapewa cheo kingine labda wizara hapo sijajua.
Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU
Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu
Sababu
1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia
2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena
3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura
4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu
5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670
Namba mbili ni mseminaryTulia ni mu RC.
Hakuna mu RC wa kweli aliyekubali huu uchaguzi.
Sio huyo tu, wengine watafuata watabaki wafuasi wa BAKWATA na wafuasi wa Askofu Kiongozi Dr. Al haj Alex MalasusA
Kwani Tulia ana akili kubwa ?Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU
Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu
Sababu
1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia
2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena
3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura
4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu
5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670
Waziri wa fedha yupo kimya sana au na yeye walimpitia lile Jeshi la gizani ?Ccm Kuna mgawanyiko wa kifikra kwa sasa sema wengi wanashindwa kutoka front kwasabb ya teuzi znazokuja
Huenda wanaepusha aibu huko IPU.....Ama waziri mkuu, ama waziri mambo ya nje
Halafu kwa kuongezea ni kwamba Samia ameona mawaziri wote warembo kama akina Angela Kairuki, Ummy Mwalimu awatoe kwenye uwaziri maana wanam challenge kwenye eneo hilo maana yeye hataki competition ya aina yoyote.... Baadae alivyokuja kuangaza akagundua huyu Tulia sura mbovu na hana tako anafaa kuwa hata waziri mkuu, akamchomoa faster kwenye uspikaHapana nadhani wanataka kumpa uwaziri wa mambo ya Nje kwa kuwa Tulia anajua kingereza sio kama Kombo.Halafu ni kabishi kwa hiyo kanaweza watukana wazungu🤣🤣🤣
Tulia aliletwa bungeni na ccm kwa ajili ya kudeal na wapinzani hasa chadema ambao walikuwa wanaigaragaza bunge la ccm kwa umahiri wa hoja zao katika sheria na mambo mengine. Kudeal nao wakaona wamlete tulia kuwashughulikia. Kwa sasa wapinzani hawapo, hoja za maana ambazo zingeweza kuuamsha hisia nje ya nchi kutoka bungeni hakuna tena. Tulia hana kazi ya maana bungeni kwa sasa hivyo wameona waendelee na utaratibu wao wa spika kada wa ccm. Ameshatumika hivyo kazi imeisha.Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika
Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU
Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu
Sababu
1. Maandamano ya mo29 yameanza kulipa, maana nasikia Gen z Mbeya walifika kwake kumsalimia
2. Kizimkazi anataka amweke Mzanzibar au chawa hataki mtu wa Bara tena
3. Dhamiri inamsta Kwa wizi wa kura
4 Kizimkazi anajaribu kuondoa watu wa JpM kwenye mihimili muhimu
5. Kizimkazi hataki akili kubwa anataka vilaza tuView attachment 3498670
Na wewe utakuwa boya sana, yaani utoke kwenye Uspika uende kwenye Uwaziri mkuu halafu useme mtu kapanda hapo?Waziri mkuu mtarajiwa,ulonzi umekubali nimwendo wa kupanda madaraja tu
Waziri Mkuu ni mdogo kwa SpikaAmeahidiwa Uwaziri Mkuu kama zawadi kwa kufanikisha dili la Abdul kuuziwa Bandari.
Hoja hii ina mashiko👏Tulia aliletwa bungeni na ccm kwa ajili ya kudeal na wapinzani hasa chadema ambao walikuwa wanaigaragaza bunge la ccm kwa umahiri wa hoja zao katika sheria na mambo mengine. Kudeal nao wakaona wamlete tulia kuwashughulikia. Kwa sasa wapinzani hawapo, hoja za maana ambazo zingeweza kuuamsha hisia nje ya nchi kutoka bungeni hakuna tena. Tulia hana kazi ya maana bungeni kwa sasa hivyo wameona waendelee na utaratibu wao wa spika kada wa ccm. Ameshatumika hivyo kazi imeisha.