Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

Sijuwi budget yako ikoje, lakini I'd go for a BMW 5 series, any day! Usisahau kukata comprehensive.
29805670008_large.jpg
 
Subaru ni mashine mzee iyo mark x hata ikigongana na baiskelinaumia yenyewe tuu na kuhusu comfortability ni pesa yako tuu kuifanya gar ivutie mzee
 
BMW series, matoleo mazuri ni kuanzia 2008 mwishoni
Inategemea na mwaka mkuu. Ya 2005 inafika 11,385,893.02 (Full budget ya kodi na ushuru, bila kujumuisha Bima tu). Kwa hiyo jumlisha na CIF yako sasa kutegemea ulivoinunua.
 
Sijuwi budget yako ikoje, lakini I'd go for a BMW 5 series, any day! Usisahau kukata comprehensive.
29805670008_large.jpg

Mkuu hapo umenisuuza Sana na huyo mnyama bmw
Uwezo sina lakini Bima naikubali ingawa wananikera sana Na interior design
 
Mkuu hapo umenisuuza Sana na huyo mnyama bmw
Uwezo sina lakini Bima naikubali ingawa wananikera sana Na interior design
ni kweli mkuu, laiti wangetumia enterior kama ya 7 series kwenye 3 series ingependeza sana!
 
Kwa upande wangu mark X ni zaidi..... Kuanzia comfortability, consumption of fuel, V-engine, ni auto na manual yenye gear 6 na ya 7 reverse, spea zake sio maumivu sana, nzito 1.5 ton,
 
Kwa upande wangu mark X ni zaidi..... Kuanzia comfortability, consumption of fuel, V-engine, ni auto na manual yenye gear 6 na ya 7 reverse, spea zake sio maumivu sana, nzito 1.5 ton,
Year mark x ni luxirius ila subaru ni sporty xo handling na performance ni zaidi ya mark x
 
Back
Top Bottom