Ipi ni channel yako pendwa ya YouTube na ni kwanini?

Ila nilichogundua online mtu akiwa na content safi na viewers wakaamini katika content zake basi ela iko nje nje
 


Myles Monroe jamaa anakipaji cha kuchambua bible na kuweka kataika maisha yetu ya kila siku
 
Nilimsahau Mr mobile nae ni mkali sana.
 
1. Coding in Flow (huyu jamaa anajua code na anaelekeza anaeleweka kirahisi na mpangilio mzuri wa code, so far ana provide za Android pekee)

2. Mahubiri Tv (hapa yupo pastor mmoja anaitwa David Mmbaga aisee hachoshi mda anahubiri)
 
Habarti na Matukio
  1. Millard Ayo
  2. Azam TV
  3. Kenya News Alerts TV
Mafundisho ya Dini na Maisha
  1. Chomoza TV
  2. Pastor Daniel Mgogo
  3. Davistar Mata Media
  4. Great Ideas Great Life
Historia, Uchumi na Siasa
  1. Ananias Edger
  2. TEDx Talks
  3. Make Afrika Great
Vichekesho
  1. NTV Prankstars
  2. Just For Laughs Gags
 
Sam Chui
MKBHD
IJustine
LinusTechTips
Mr.WhoTheBoss
TechAlter
TheStraightPipes
CarWow
Wendover Productions
PollyMatter
Cold Fusion
Kara and Nate
AutoToppnl
MercBenzKing
TheLuxuryTravelExpert
The B1M
Eater
ThrottleHouse
UDY

Hizo ndo nimezikumbuka harakaharaka.

Nikikumbuka nita update.
 
Kwa level alofika mkbhd lazima atakuwa influenced kwenye marketing zaidi kuliko actual feeling.

Pia jamaa ana focus zaidi kwenye quality ya video kuliko content zaidi ndo maana ana invest zaidi muda kwenye video moja.

Ndo maana anaweza toa video moja kwa week kwake isimletee tatizo manake hata asipotoa video hata moja mwezi mzima, anaingiza mpunga mwingi zaidi.

Kwa jinsi anavyo invest kwenye video moja, si rahisi ku review kila kitu manake huo muda hawezi kuwa nao.

Ndo maana sasa ana review high end products tu au based on his preference or hobby.

Alikuwa na retro tech series, sahivi imesimama kwasababu ya Techtober na techvember.
 
aliishamhoji zurkberg wa facebook na billgate[emoji23][emoji23].

hapa ndio utajua mbele ni mbele tu. youtuber wa bongo kazi kupost uzushi wa zuchu tu.
Jamaa ana influence pia.

Hao kina Zucker na Bill hawawezi kubali kuhojiwa na mtu mjinga mjinga. Lazima wamfanyie vetting.

Mkbhd anajielewa sana content wise.
 
Review unit wanaweza tumiwa hata week mbili kabla ya actual unveiling.

Wewe unaiona one plus 8t ila yeye alishakuwa nayo week 2 kabla.

Ndo maana unaweza ona wanashusha wote video zao siku moja.
 
Review unit wanaweza tumiwa hata week mbili kabla ya actual unveiling.

Wewe unaiona one plus 8t ila yeye alishakuwa nayo week 2 kabla.

Ndo maana unaweza ona wanashusha wote video zao siku moja.
Itabidi mimi nianzishe ya kureview bidhaa za Tanzania, juice za Azam na moe, sembe, pipi na biscuit. ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜
 
Itabidi mimi nianzishe ya kureview bidhaa za Tanzania, juice za Azam na moe, sembe, pipi na biscuit. ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ [emoji16]
Watakupiga risasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ