Ipi ni channel yako pendwa ya YouTube na ni kwanini?

Watakupiga risasi.
Lengo wawe wanaleta bidhaa zao mpya nakula bure.... 😁 😁 😁 😁 😁 nitaambulia views 200 tu. Nilishangaa kuona yule dogoana unbox toys anaingiza mkwanja mrefu almost kuliko channel zote za youtube.
 
Itabidi mimi nianzishe ya kureview bidhaa za Tanzania, juice za Azam na moe, sembe, pipi na biscuit. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ [emoji16]

utafuatwa usiku na kamanda mambosasa,uambiwe unatuhumiwa kwa kuhujumu biashara za watu na kutangaza bila wenye bidhaa kukuomba[emoji16][emoji16][emoji16].

shida ya bidhaa za bongo ni ubora hafifu,sababu ya urasimu kwahiyo utajikuta huna benchmark mpaka uweke na bidhaa za nje[emoji16][emoji16],hapo ndipo utakapopewa kimeo cha uhujumu uchumi.
 
Upande wa TECH

1.MKBHD


2.JERRYRIGSEVERYTHING


3.MRWHOSETHEBOSS

4.LATERCLIPS
Hii na ya Lewis Hilsenteger yuko na mchizi wake wa kwenye unboxing therapy,hiii nimetokea kuipenda zaidi ya hata unboxing therapy

Entertainment
1.MR BEAST

2.BIGDAWS


3.FAZERUG
 

huyu jamaa wa unboxingtherapy huwa ananifurahisha sana.

kwanza ile picha ya video anaisogeza simu inakuwa kubwaa,kama anakuonyesha hivi[emoji28][emoji28][emoji28]
 
huyu jamaa wa unboxingtherapy huwa ananifurahisha sana.

kwanza ile picha ya video anaisogeza simu inakuwa kubwaa,kama anakuonyesha hivi[emoji28][emoji28][emoji28]
hahaha zile Thumbnails mkuu zinavutia sana,au unakuta kama anafungua box linalotoa mwanga fulani hivi
 
Nimefungua channel yangu kwa wiki nne nimepata views 20 tu! Subscribers 7 tu! Jamani!

Hii kazi ya YouTube ngumu saana.
 
Nimefungua channel yangu kwa wiki nne nimepata views 20 tu! Subscribers 7 tu! Jamani!

Hii kazi ya YouTube ngumu saana.
Siyo rahisi inahitaji muda na utengeneze niche moja ya kuvutia.
 
Vsauce: huyu jamaa yupo vizuri kwa maeswali madogomadogo yasiyo na mantiki kuyajibu kama pro.

PewDiePie kwa kucheka
Thatwasepic kwa kucheka
Sinemasins kwa kucheka
IGN kwa news entertainment na reviews za games na movie hapo pia kuna watchmojo.
SpaceX hii kuangalia rockets na missions za mr.musk kuelekea mars.
Pia NASA.
Movietrailers hii kupata trailers mpya.
Slowmoguys hawa ni slow motion tu.
Nickelodeon hii kwa kwa Vipindi vvyao.
Star talk channel ya neil D Tyson kwenye mambo ya astrophysics.
Joe Rogan huyu aliwahi muhoji musk.
Bad leaps reading hawa jamaa ni hatari kwa kumpachika maneno trump.
National geography hii kuona nature ya dunia.
Discovery science hii kujifunza mambo mengi kuhusu science.

Nyingine ni
Dude perfect hawa jamaa ni hatari kwa zile skills zao.
 
Emmanuel kasomi <<<<kwa habari mbalimbali na burudani
 
Nimefungua channel yangu kwa wiki nne nimepata views 20 tu! Subscribers 7 tu! Jamani!

Hii kazi ya YouTube ngumu saana.
Upload trending topics consistently kama 35 huku ukishare video zako Facebook, WhatsApp,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…