Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
- Thread starter
- #21
Ambapo ukute wewe unayeongea hivi account yako hata 50k haina.Ila Tanzania umaskini umekithiri asee, imagine hako ndo kasalio ka mtun[emoji58]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambapo ukute wewe unayeongea hivi account yako hata 50k haina.Ila Tanzania umaskini umekithiri asee, imagine hako ndo kasalio ka mtun[emoji58]
wale wa tafuta pesa wamekimbilia kudai tarakimu ziwe nyingi 😂 utadhani wanamsaidiaga kutafutaHahahaha mkuu umeua sanaa,
Ila hapo mwisho umewamaliza haters wote, hahaha
Mm nna tarakimu zaidi ya 9 ukichanganya na mbele ya decimal point [emoji38]Sasa ulitaka mtu aoneshe billion 1 ndio umuheshimu?[emoji23]
We hapo ulipo hio billion moja huna
Najua walimwengu wangekimbilia kusema huna hiyo pesa hasa wanawake mana nawajua humu kwa viherehere 😂😂😂Hahahaha mkuu umeua sanaa,
Ila hapo mwisho umewamaliza haters wote, hahaha
Ntaipata tu muda ukifika [emoji16]Ambapo ukute wewe unayeongea hivi account yako hata 50k haina.
Ahadi hewa 😂Ni app gani ya simbank inafaa kuscreenshot mana zangu haiwezekani hata ya mpesa tu haifai.
Anyway mpe ahadi ya pesa ndo dawa ya kufanya muendelee kuwasiliana boss.
🤣🤣🤣Ila Tanzania umaskini umekithiri asee, imagine hako ndo kasalio ka mtun[emoji58]
Wenye hizo tarakimu wanakunywa kahawa Serena muda huuMm nna tarakimu zaidi ya 9 ukichanganya na mbele ya decimal point [emoji38]
Hizi taasisi zinatunyima ku screenshot kama hela zao vile. Sasa mimi nikitaka kuringishia salio mpaka uende online banking sijui wapi. Hela zangu ila hawataki niscreenshot.Ni app gani ya simbank inafaa kuscreenshot mana zangu haiwezekani hata ya mpesa tu haifai.
Anyway mpe ahadi ya pesa ndo dawa ya kufanya muendelee kuwasiliana boss.
Buzi ni outdated hio ilikuwa zama za akina Luiza Mbutu...Sahizi ni DangaWatu kama wewe wanawake huwa wanawaita ''mabuzi''. Yaani ni wanaume ambao wanakuwa na uhusiano nao kwa sababu kupata fedha tu. BTW kuna wanaume wakijua wanafanyiwa hivi wanaamua kugonga tigo kabisa ili wawakomoe.
Eee tutunze mahusiano yetu mana wote wako hivyo [emoji16]Ahadi hewa [emoji23]
Na papa bear 😅Buzi ni outdated hio ilikuwa zama za akina Luiza Mbutu...Sahizi ni Danga
Nakubaliana na wewe. Buzi ni la zamani. Kumbe siku hizi ni danga!!!Buzi ni outdated hio ilikuwa zama za akina Luiza Mbutu...Sahizi ni Danga
Zakwangu 4 tu ndo significant figures nyingine ni mbele ya nukta [emoji38]Wenye hizo tarakimu wanakunywa kahawa Serena muda huu
Wengi account zishafungwaIla Tanzania umaskini umekithiri asee, imagine hako ndo kasalio ka mtun[emoji58]
ni maajabu hakupendi ila anapenda hela zako.Eee tutunze mahusiano yetu mana wote wako hivyo [emoji16]
Kaka we embu Naina unikopeshe Kia's Cha shilingi elf 30k by j tatu nawasilishaKuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri.
Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active vibaya mno kwenye mawasiliano.Mimi kama mwanaume sijashangaa yeye kupunguza mawasiliano na mimi mana najua ndo tabia za wanawake pindi wanapoingia kwenye mahusiano mengine ya pembeni mana anakua active zaidi kwenye mawasiliano na mtu mpya kuliko wewe ambae ulianza nae.
Huyu binti kwakua nishamkula sana nimeona sina chakupoteza mana sikua na mpango wa kumuacha ila kwakua yeye mwenyewe ndo kalikoroga basi acha alinywe.
Juzi jioni nimekaa sina hili wala lile nikaona kanitumia text ya kuniomba nimsaidie Tshs 100,000 nikasema hapa sasa ngoja nikuonyeshe show kwamba there is no free lunch.
Nikamjibu nikamwambia ngoja tuone kesho nitapata kiasi gani ili sikuhaidi kwamba nitakupatia hiyo 100k yote, nitakayofanikisha nitakuambia akasema "sawa nitashukuru" nikasema kimoyomoyo "kesho utafurahia show"
Sio kwamba sikua na hiyo hela, pesa nilikua nayo ila nilitaka tu kumpa ahadi hewa ingawa anajua kabisa iko ndani ya uwezo wangu.
Kesho yake ananitext nikajua tu huyu anasalimia sababu nilimuahidi pesa, nilikuja kuijibu text yake baada ya masaa mawili kisha nikakaa kimya.
Jioni alipiga nikawa naiangalia timu simu yake , nilikua kumtumia text baada ya masaa mawili tena na kumuuliza anasemaje.....Yani nilikua namgonga swali as if sikumuahidi chochote halafu nilikua sitaki tu kuskia sauti yake ndomana nilikua sipokei simu yake.
Ili kuwahakikishia kwamba ninao uwezo wa kumtumia 100k ila tu sitaki naambatanisha na my bank balance ya muda huu.
Hakuna muda wa kumuonea huruma mtu asiyekuthamini na kukumbuka wema wako