Ipi ni namna sahihi ya kusema kwa kingereza hii kauli "NINAUMWA MALARIA"

Ipi ni namna sahihi ya kusema kwa kingereza hii kauli "NINAUMWA MALARIA"

2. I am suffering from malaria
3. I have Malaria

Kwangu hizi sentensi 2 ni poa zaidi, japo ya pili ndio ningependelea kuitumia zaidikuliko ya 3, ila ya 3 ni simple zaidi.

Kitendo cha kusema tu i am suffering from mtu anajua kinachofata ni ugonjwa haijalishi ugonjwa huo anaujua ama lah,

I have malaria, itambidi mtu unaemwambia aijue malaria kama ni ugonjwa, ndipo ajue unaumwa, akidhani malaria ni hela anaweza kukwambia umpe na yeye 🤣

Kwa sisi wa st. Kayumba
 
I AM MALARIA BRO,FEEL ME NEGRO
1000001876.jpg
 
"I am sick of malaria" is a perfect English to express semantically and grammatically,ambapo kama ungesema "I am sick" peke yake ndio mtu mfano Dr anaweza kukuuliza "you are sick of what?" Na kujibu "I am sick of malaria" However pia unaweza tumia hiyo namba 2.The rest 3-5 may sound correct unapotamka but wrong semantically and grammatically.
 
Back
Top Bottom