Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
I've got malaria bado ndefuHizi zipo sawa, au unaweza sema; "I've got malaria"
"sick of malaria" inamaanisha umechoka malaria, "sick from malaria" ndo sawa
Sema "gat malaria"
😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I've got malaria bado ndefuHizi zipo sawa, au unaweza sema; "I've got malaria"
"sick of malaria" inamaanisha umechoka malaria, "sick from malaria" ndo sawa
we mjamaica au?I've got malaria bado ndefu
Sema "gat malaria"
😹
😹Mkenyawe mjamaica au?
Kwahiyo tuseme nina kichwa kumaanisha naumwa kichwa?Technically, hata kwenye kiswahili sio lazima kusema "naumwa homa" sababu kitendo tu cha kusema "nina homa" tayari ni kielelezo kwamba "unaumwa" sababu "homa" ni ugonjwa. Hivyo hapo unasema tu "I have malaria"
Simple and neat.
Homa ni ugonjwa??Technically, hata kwenye kiswahili sio lazima kusema "naumwa homa" sababu kitendo tu cha kusema "nina homa" tayari ni kielelezo kwamba "unaumwa" sababu "homa" ni ugonjwa. Hivyo hapo unasema tu "I have malaria"
Simple and neat.
Malaria sucks1: I am sick of malaria
2: I am suffering from malaria
3: I have malaria
4: I am sick malaria
5: I am sick with malaria
6: none of the above (iandike)