Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

Kabisa mkuu hii biashara kuisha ni mziki kwa mataifa yetu yakiafrika mana umaskini upo juu sana sasa kama tu kwa mataifa yaloendelea tu hali hii ipo bado tutaweza sisi huku.

Serikali itapunguza tu na itawasaidia wale ambao wamekosa ajira ila kwa wale wanafanya kwa hulka binafsi ni ngumu sana.
 
Ngumu sana mana kuna wenye shida kuna ambao kwao ni tabia kuna wale wanatafuta mitaji na kuna makahaba ambao hawa ataumweke ndani ataenda tu.
 
Ngumu sana mana kuna wenye shida kuna ambao kwao ni tabia kuna wale wanatafuta mitaji na kuna makahaba ambao hawa ataumweke ndani ataenda tu.
Hii biashara kuisha kwake ni matokeo hasi kwa baadhi ya wahusika tena hapa hata mimi kuna mdada namfahamu aliacha hii biashara baada ya kumkuta na sasa kaolewa na mmoja alokuwa mteja wake.
 
Wawekewe mazingira mazuri ya biashara zitakusanywa kodi za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…