Nimesoma nikasoma tena na tena na tena
 

Mimi nimeipenda hiyo ya offisini naweza kuja offisini kwako kukusalimia?
 
Love you
 
Nataman sana kudate na albino coz nna wivu hawa hawatongozwi ovyo
Umenikumbusha mbali man[emoji1787]Kuna jamaa mmoja mmoja huko Moro alikua dereva wa daladala,sasa wahuni wakawa wanamgongea wife wake akaona isiwe shida akaoa albino lkn bado wajuba wakaendelea kumtafunia albino wake [emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…