YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Naomba tukaishi manzese [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Funga mizigo yako nakupitia [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba tukaishi manzese [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti nitukane nikojoe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nmecheka kifalaNapenda kula chabo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me wala sitamani sema naona raha nikiweka ulinzi shirikishi
Kuna siku nilienda manzese kuna shosti yangu kwao karibu kuna gesti wee!! Kumbe naye mzee wa chabo wenyewe wanaita deo aiseee!!!
Akaniita njoo uone asalale ilikuwa hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km moo zinapandana kumbe watu, kilichotuponza Rose alicheka jamaa alivyokua anasema, kidawa nitukane nikojoe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti nitukane nikojoe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka kifala
Mwenyewe ulikuwa unachukua tuition bila malipo 😆😆😆😆Bff kuna raia wanaishi volume ya mwishoo aisee!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mpk kesho namlaumu Rose kuna content muhimu sana nimezikosa kwenye ule mzagamuo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe ulikuwa unachukua tuition bila malipo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We Thubutuuuuu!! Akinijua atanilitetea pdf langu [emoji23][emoji23][emoji23]
Namjua huyo shem wangu naye nati zimelegea na uchizi wake humu hawez kukosekana
[emoji23][emoji23][emoji23] niko na shem wako, mibong'okoo wamesha muachia.Uko na nani kwanza?? Sio nije kula chabo la kichovu sitaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njooo bas nawee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] niko na shem wako, mibong'okoo wamesha muachia.
Njooo bas nawee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi usilete ukaja kufukua makaburi bure.We Thubutuuuuu!! Akinijua atanilitetea pdf langu [emoji23][emoji23][emoji23]
Namjua huyo shem wangu naye nati zimelegea na uchizi wake humu hawez kukosekana
Basi usilete ukaja kufukua makaburi bure.
Maana atabwabwaja ya hela yoteKwa Kweli sithubutu [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana atabwabwaja ya hela yote
Kweli kabisa atasema hata kashakuvua pichu.Na ya uongo atajazia ili anikomoe [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mibong'oko wamegoma kumuachia shem wako.Wee sema kweli? Ko ss hivi mambo biyee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo ufanye utafute lingerie za kueleweka shem asitafute wa za karume [emoji23][emoji23]
Mfyuuuuh.Thitaaaki [emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mimi unisumulie basiKuna nyingine hiyo nilikula chabo ya jamaa kila akitaka kufika kileleni lazima apige miluzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo nitakusimulia chemba hiyo ilikua enzi za MU nisije kusema alafu yumo humu akanijua tukaanza kuleteana kwere bure