[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu tiririka bwana nikija mwanza japo nikusalimu nina safari ya huko dec
Bwanaaaa weee maisha haya haya, inapokuwa nafasi ya kufurahisha nafsi, ifurahishe kweli kweli 😀😀😀😀 ila 3samu ni tamu.. ila umri na mda vimepetutupa mkono tayari..

Karibu sana mwanza utakaa kwa mdaa.. Wana mwanza tukuweek booking ya hotel upendayo sie hatuna uchoyo kabisa 😉😉😉 na burudani zote upendeza tukuandalie
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikifika nitakutafuta tukae tu hata dk 10
 
Wacha makasiriko mkuu😂😂😂

Kwanza asante kwa dua zako njema za uzazi kwakuwa tupo kwenye mipango ya kuoana na Binamu yangu

Hivyo endelea kuniombea halafu nitakuja kukujibu mtoto ataniitaje😂😂
 
Yaani wewe
Mtoto mzuri Shunie hiyo hii situation umenikunikumbusha kitu fulani ndio maana nimezungumza hivyo kuna manzi mmoja hivi alinitengenezea mazingira fulani yakumgonga kwenye ghetto lake lakini binafsi sikutaka nifanye mapenzi nae kwa sababu sikuwa kwenye mood lakini pia nilikuwa ninaharaka ya kwenda sehemu fulani so nikamkataa kiaina baada ya pale yule akaanza kunitangaza mimi ni shoga sina maajabu alinichafulia jina langu pale mtaani.

Sometime mwanamke usipofanya nae atakuchukulia boya
 
Wow, mwanamke anaejua anachokitaka na asieogopa kusema

Damn u are hot asf!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…