Ipi ni 'sexual fantasy' yako?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu tiririka bwana nikija mwanza japo nikusalimu nina safari ya huko dec
Bwanaaaa weee maisha haya haya, inapokuwa nafasi ya kufurahisha nafsi, ifurahishe kweli kweli 😀😀😀😀 ila 3samu ni tamu.. ila umri na mda vimepetutupa mkono tayari..

Karibu sana mwanza utakaa kwa mdaa.. Wana mwanza tukuweek booking ya hotel upendayo sie hatuna uchoyo kabisa 😉😉😉 na burudani zote upendeza tukuandalie
 
Bwanaaaa weee maisha haya haya, inapokuwa nafasi ya kufurahisha nafsi, ifurahishe kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila 3samu ni tamu.. ila umri na mda vimepetutupa mkono tayari..

Karibu sana mwanza utakaa kwa mdaa.. Wana mwanza tukuweek booking ya hotel upendayo sie hatuna uchoyo kabisa [emoji6][emoji6][emoji6] na burudani zote upendeza tukuandalie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikifika nitakutafuta tukae tu hata dk 10
 
Hiyo ya kula binamu yako naombea ashike mimba na isitoke apatikane mtoto halafu tuone hapo ndani mtaitana vipi?!

Binamu yako mtoto wa ndugu yako aidha mama mdogo au shangazi, haya utaanzaje kuwaita wakwe?

Mtoto wenu atawaitaje ninyi, maana ambaye ni baba pia ni baba mkubwa, na mama amezaa kwa akina shangazi na kwa mama mkubwa, yaani mvurugano usiolezeka. Kujitafutia laana za ukoo na kuanzisha kizazi cha watoto ambao hawataona mipaka ya damu.

Ndio watoto wa uzazi wa namna hii wakishakuwa watu wazima ndio huwa wanaanza kubaka wajukuu wao, unasikia baba kamuingilia mwanae. Mara ametaka kumbaka dada yake. Mara kabaka mpwa wake.

Ushetani huwa unaanza na haya mambo ya binamu kinyama cha hamu PUMBAVU KABISA.
Wacha makasiriko mkuu😂😂😂

Kwanza asante kwa dua zako njema za uzazi kwakuwa tupo kwenye mipango ya kuoana na Binamu yangu

Hivyo endelea kuniombea halafu nitakuja kukujibu mtoto ataniitaje😂😂
 
Yaani wewe
Mtoto mzuri Shunie hiyo hii situation umenikunikumbusha kitu fulani ndio maana nimezungumza hivyo kuna manzi mmoja hivi alinitengenezea mazingira fulani yakumgonga kwenye ghetto lake lakini binafsi sikutaka nifanye mapenzi nae kwa sababu sikuwa kwenye mood lakini pia nilikuwa ninaharaka ya kwenda sehemu fulani so nikamkataa kiaina baada ya pale yule akaanza kunitangaza mimi ni shoga sina maajabu alinichafulia jina langu pale mtaani.

Sometime mwanamke usipofanya nae atakuchukulia boya
 
Nyingine natamani sana nimle mwanajeshi na masai ...

Hawa watu huwa nawatamani sana sema huwa sina bahati nao.

Mjeshi akiwa ndani ya kombat huwa sijui namuonaje...

Zile pipo huwa zinapiga mazoezi ya haja so zikikukwidaa kunako unaweza hata kujamba

Hivi hapa JF huwa hakuna wajeda? Kama mpo popote mlipo mjue mna nafasi maalumu moyoni mwangu
Wow, mwanamke anaejua anachokitaka na asieogopa kusema

Damn u are hot asf!
 
Back
Top Bottom