Kukuna kissme usoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu mna maajabu sana.
 
Siku naenda mbinguni, eti namkuta huyu jamaa wa kuitwa Mzabzab nae yupo. Asee nitafanya fujo mpaka malaika waite difenda manina!


Nilikua najiona niko na dhambi sana. Ila baada ya kupitia huu uzi, nimegundua mimi peponi ni lazima asee. Yani Musa na Yakobo wanakaa hapa, mimi nafuatia.


Kuna washenzi wako na dhambi kali alafu mpya mpya. Hata shetani anashangaa "hii dhambi mbona sikuivumbua mimi, hawa wasenge wameitoa wapi?"
 
Hahahahahahah...

Ukimkuta unamuitia Panya road sio
 
Wee alafu hapa jf nimeshaona watu wanataka kujitafutia njia ya kwenda mbinguni kwa kunisingizia mie mabaya yote ya mambo ya kugegedana.

Mboma wapo wengi tuu wamefunguka mavituzi hapa hamuwasemi🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…