lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
HahahaNina watoto nane mkuu, lakini magumu ya maisha hayanipelekeshi kama watu wengine.
Kupitia mitihani tumeumbiwa wanaume, lakini kama wewe ukiwa na stress hufurahii mapenzi, ni juu yako.
Utakuwa masikini Tu umechoka huna A wala B.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app