Ukitaka kuwapata wanaojimudu kiuchumi ni rahisi sana, Kwanza wewe binafsi vaa na ujiweke kithamani sana, mwanaume yeyote kapuku akikuangalia aishie kusema "simuwezi huyu"
Huwezi vaa kawaida halafu upate don, hiyo ni bahati and we all know bahati inakujaga mara chache sana, so ondoa maisha yako kwenye mambo ya bahati nasibu..
Jiweke ki mobetto, ki zari zari, ki huddah huddah etc then utaona wanaume wataokufata,Ila tu Matapeli wa mapenzi wapo (wale wakujifanya mapapaaaa) kumbe ni kina yahaya tu. Eneo hilo sikufundishi najua hushndwi wachuja ma BOSS fake na ma boss OG.
Kingine
Tafuta mwanaume mpambanaji, asie na chembe ya uvivu anaejua zisaka shilingi,sifa hiyo tu inatosha kukupa uhakika wa maisha bora kwa wanao.
Usijali huyu boss au vipi, angalia tu life style lake katika kufanya kazi na utafutaji inatosha kabisa kukupa jibu huyu atalea wanangu au lah.
Wanaojiweza miyeyusho sometimes,anakuoa wewe baada ya mwezi anageuka manara anaoa mwingine pesa zake zote zinaenda mtaa wa pili,unabaki na sifa tu umeolewa na milionea ila maisha yako magumu kama jiwe.