Wacha mie nipite pale kama jobless nikapate ushauri na pia kama mtu aliye na uraibu wa ngono. Wanaweza nipa njia za kukabiliana na hizi changamoto mbiliKabisa mkuu.Naskia Ummy kasema kumbe pale sio kwa machiz tu ila hata kupitia tu kupiga piga stori upate ushauri wa hapa na pale inaruhusiwa.