Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
- #1,881
Mimi sio mkristo mkuu hiki kitabu sikuletewa mimi wpae wahusika.Soma 1 Wakorintho 6:18-20
Imeandikwa hivi; "ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu mliyepewa na MUNGU? Wala ninyi si mali yenu wenyewe maana mlinunuliwa kwa thamani sasa basi mtukuzeni MUNGU katika miili yenu".
Mwenye masikio na asikie!!!