Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Wee alafu hapa jf nimeshaona watu wanataka kujitafutia njia ya kwenda mbinguni kwa kunisingizia mie mabaya yote ya mambo ya kugegedana.
Mboma wapo wengi tuu wamefunguka mavituzi hapa hamuwasemi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu wewe na bwana wa kupambania ni watu hatari sana nyie lool[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji23][emoji23][emoji23]