Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
- #2,621
Nikuhakikishie hawezi mwacha mzungu sababu yako wewe enjoi tu😂Aisee Dunia imebadika nimekutana na mtoto wa kuchaga mixer mpare shape kama ya yule Ex wa jux maisha yamekuwa matamu sana.. Nimeanza mwaka na huyu dogo
Sema kaniambia anabwana wake mzungu akirudi atakuwa nae.. At this moment nahangaika kumteka akili amsau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha haya